Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heri hao ombaomba ambao wengi ni walemavu, ninyi nchi yote ni ombaomba, hadi nchi zinaanza kuwaogopa, msipokua makini China itawageuza watumwa kwa ajili ya madeni.


Kweli kilaza wa LDC ni janga tupu!! huwezi tofautisha mkopo na ombaomba?alowaweka huu ukanda angewaondoa mnatuaibisha sana na ulimbukeni wenu.
 
Unapanga uje Moshi lini wewe boya?unaanzaje kuponda Moshi mji wakistaarabu kama ule, umekosa adabu. ..uje dar uone nyumba sio ivyo vibanda apo nbo


Dar ni kama Mombasa sitaki,nataka moshi ila naogopa dah! hivyo vyakula vya kwenu naviogopa mwanangu,,,,,lakini utambia hao lofa wenzako kuwa mimi sili hio nyama ya kwenu.
 



Well biggest bridge is coming up ,and ferries will be a thing of the past.
 
UNESCO heritage site,second biggest port in eastern Africa being built in addition lamu is bigger than Dar 9X.anything else dude?
uheheheh where is port???? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
lamu is a city???πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Dar ni kama Mombasa sitaki,nataka moshi ila naogopa dah! hivyo vyakula vya kwenu naviogopa mwanangu,,,,,lakini utambia hao lofa wenzako kuwa mimi sili hio nyama ya kwenu.
ni kama???? hii sentesi tata... ni kama kwako unamaanisha nn???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Well biggest bridge is coming up ,and ferries will be a thing of the past.
biggest bridge munaimba same song now 7 yrs with governor johoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ferrie zenyewe zimechoka
taaban hazina service kabisa wanaita chuma chakavu

hii kitu itawachukua 30yrs the only suspension cable stayed bridge in east and central africa



you see how modern ferries worksπŸ˜€πŸ˜€
 
mchina anataka pesa yake sasa baada ya kuwaletea wakenya gari moshi au chuma chakavu train z miaka 50 iliopitaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…