Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rudi economics class uelewe maana ya PPP na mapungufu yake kupima uwezo wa Nchi kiuchumi.
Mkizidiwa unasema mmetuzidi unaleta hoja nyingine sio kinichambulia mdhaifu na blablah mob...mbona wakt mlikua mbele hamkuwah lisemea Ilo? ?
 
Hii ni afathali kuliko ile ya Madini yanachimbwa na makampuni kubwa kuwa Kule Tz bila faida hata ya chakula kwa watanzania eg Acacia.
Kuna uafadhali gani hapo bhana usisikie kuwa yanapochimbwa madini watu wanaishi kifukara kama hivi ela ndio aifiki serikalini
 
Nbo ni developing city mnachekana na bunjumbura
 
Jiji gani hilo lenye watu milioni 6 waishio kwenye slum!!!??
NBO au!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…