Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mugger hii hasira bora upeleke kwa choo ikusaidie kusukuma mavi. hapa hakuna atakeye ku-notice. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€We ni kichaa,lakini muache kutumia picha za muscat ati ni jnia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kuwa na siku njema wacha nipeleke hasira zangu choo.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€We ni kichaa,lakini muache kutumia picha za muscat ati ni jnia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kuwa na siku njema wacha nipeleke hasira zangu choo.

for sure wahurumie tu,these guys are desperate to compete with Kenya so they will do anything eti waonekane kuwa wapo pia.lakini ni wadogo zetu hatutawacondem sana.
 
Uwanja wa Michezo Mpya unaojengwa kwa msaada wa mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI
 
Tell me kama escalator iko Tz.

Nimetafuta online hata Dar haina.. huku ipo kila corner
Hakuna au sio ???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hvi nyie hua munafkir watu wako 90s au sio au hua munajiona muko mbali sana πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€We ni kichaa,lakini muache kutumia picha za muscat ati ni jnia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kuwa na siku njema wacha nipeleke hasira zangu choo.
hasira hasara...viva tanzania. [emoji122] [emoji122]
 
Eti Jay tuambie vizuri hapa, ni kweli Lamu ilikua haina barabara ya lami tangu Uhuru...!?!?

Hii ni aibu kwa nchi DC kama Kenya
View attachment 721719
Hii Lamu si ndiyo wanajenga ki port chao ambacho ujenzi wake hauna mbele wala nyuma! Ndiyo maana Museveni aliwakatalia aka amua aende zake Tanga full tarmac kila corner, nani anapenda kupigwa mavumbi [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…