Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's the reason they rarely bring aerial views. Wanajua tu vile inawauza hawawezi leta. Watakuletea hundreds of photos of brt buses next to those three blue towers taken in different angles with a screaming caption of "MIAMI"!



hahaha true hizi nyangau ukitaka kuziumiza unapeleka tu vita angani.....wanabaki hoi bin hoi
 
Again udongo mwekundu??😱😱😱
Dar hakuna udongo mwekundu hata ukikasirika we kasirika tu ndio ukweli huo😀😀😀😀


hahaha .....danganya toto jinga.....usiwe Judas Iscariot umkane mamako pia
 
Watu wanaoleta uzinduzi wa lift ya kwanza kwenye habari hawa ni vichaa tu
 
wacha nitafte picha za uzinduzi wa lift kufanya matendo ya kishamba kiasi hiki ni dhambi mbele ya Maulana ..
 
kuna picha flani mameya, wabunge, wanahabari wote walienda camera zao kuzindua lift nani ana picha ile ansaidie natamani kucheka kidogo
 
Hahahah......

Hii si ndo DC, heb acheni masihara bana

Mjadala umeisha
Kenya + Tanzania = LDC
We nchi iliyoendelea wanafurahia barabara ya lami kwa mara ya kwanza 2018 tangu uhuruuu!??? Hii ni aibuu
By the way only 1% of Tanzania has tarmac roads and 92% of Dar is a Slum and not forgetting 78% of Tanzanians live i slums while 69% of Tanzanians are malnourished.
 
Hahahah......

Hii si ndo DC, heb acheni masihara bana

Mjadala umeisha
Kenya + Tanzania = LDC
We nchi iliyoendelea wanafurahia barabara ya lami kwa mara ya kwanza 2018 tangu uhuruuu!??? Hii ni aibuu
By the way only 1% of Tanzania has tarmac roads and 92% of Dar is a Slum and not forgetting 78% of Tanzanians live i slums while 69% of Tanzanians are malnourished.
 
waheshimiwa wazima wamekwamiana kama viberiti huku wakiharibu hewa kwenye lift kisa uzinduzi they even wore their Sunday best to launch the first lift in Mbeya this is the country that is comparing itself to kenya
 
Auna jipya kibera inakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…