Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

atleast tuna reli...where is urs?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€bado mpo msituni mnapambana na vumbi kujenga white elephantπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mizigo ya Rwanda hata ya Nairobi tu inaizidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huo ndiyo wendawazimu wa kiwango cha Kibera, hivi unajua kwanini nchi zinaamua kujenga reli?, lengo kubwa ni kupunguza gharama za usafirishaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi, hiyo sio kwa ajili ya maonyesho, kwamba eti muonekane mumejenga reli, hakuna mfanyabiashara atakayeitumia, itabaki kuwa tembo mweupo na mkopo wa wachina unawakodolea macho.
 
hahaha those are just the highways.......feeder roads ziko kila pembe siku hizi unlike Tanzania where most roads ni mchanga tu
hizo feeder roads ambazo ni mchanga zinazounganisha mikoa ni zipi km unazijua au imagination inayokufurahisha ndio unayoiamini
 
hatari hatari hatari.

mambo [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
mamaeeee... moderator samahani kwa kutukana. viva tanzania [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…