alaf magu mjanja sana kawaita wafanya biashara kawapa morali sana na kawaambia yuko tayar hata ku hold tax kwa five years kama mtu atafungua viwanda na kuongeza ajira ππππππSana hawa watu wanapenda kujiona wao ni [HASHTAG]#ARYAN[/HASHTAG] race ya East Africa kumbe Maskini na makapuku hawana mbele unakumbuka jana Wafanyabiashara walimwambia Rais kenya ilikua mshindani wetu kwenye Tourism sector lakini sasa hivi siyo tena.Hawana lolote hawa.
Wewe acha kukataa kwenu as if unaishi Europe lete hizo outdated picha za kariakoo upewe current photoLol desperation is real.......tukianza takataka za kariakoo mtatimua mbio......Kwanza the second photo sijui mmetoa wapi
wame combine kutoka kwenye source zipi???ππππππwamejaribu comeback lakini wanatapatapa tu.......data za UN na Wikipedia huuma kama nge.....Lol.poleni wana LDC ....
lanes
Lol......LDC town of DarHapa tupo mji mkuu Dar es Salaam
Kweli mzeendio ule msemo unasema hawavumi lakini wamoπππππππ
Hata serikali yenu "tukufu" inasema 7,600 kilometers of paved roads. Mbona mnapenda sana kukana vitu? sona hii taarifa ya serikali yenu.Huu pia ni ujinga kusema Kenya ina barabara nyingi za lami kuliko Tanzania
Licha tuu ya ukubwa wa Tanzania, popote pale Tanzania hii unaweza kwenda popote kwa lami
Agencies wa kusimamia barabara Tanzania ni kama
TANROADS
Deals with Highways tuu
TARURA
Deals with wards, streets, villages, constituents roads
TAMISEMI
As ministry has a department dealing with
District, Municipal and Towns Roads
Sasa wote hao wakikupa database zao kuhusu mtandao wa barabara Tanzania 2018 si tutakimbiana humu
Yani hapo nilifurahi kinyamaaa tuombe uhai tuualaf magu mjanja sana kawaita wafanya biashara kawapa morali sana na kawaambia yuko tayar hata ku hold tax kwa five years kama mtu atafungua viwanda na kuongeza ajira ππππππ
Hahaha which Tanzanian choir is coming to Uhuru park this week...Yes indeed, especially when some people think the whole world revolves around Uhuru Park.
UN or Wikipedia or bloggers.......Kadoda...viva tanzania. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] View attachment 720094View attachment 720095
hiyo failed state tumeiskia tu hapa jf.....jito la jiwe or whatever it calls itself ilijitungiaNamngoja yule kilaza wa failed state alete upuuzi wake tena.
kariakoo ni Ile ile.......Wewe acha kukataa kwenu as if unaishi Europe lete hizo outdated picha za kariakoo upewe current photo
You never disappoint Boy...Wimbo wa Failed state ndio signature yakoππKenya ranked as 'failed state'
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Alpata pale kwa CNN na anytime unamuweka kwa corner anapata redemption hapo.hiyo failed state tumeiskia tu hapa jf.....jito la jiwe or whatever it calls itself ilijitungia
Uliza uelewesheHata serikali yenu "tukufu" inasema 7,600 kilometers of paved roads. Mbona mnapenda sana kukana vitu? sona hii taarifa ya serikali yenu.
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund
Jengeni nchi yenu nyie vilaza
Mbona nimekuwekea link hiyo hapo, kama ambavyo tulitangaziwa na hao hao waliosema Kenya ni Lower middle income country na mkatuwekea link tukaiona, ni hao hao waliowataja kuwa failed state na link hii hapahiyo failed state tumeiskia tu hapa jf.....jito la jiwe or whatever it calls itself ilijitungia
Usiandike kwa mihemko think before posting BS.kwakua mwenzio kapost picha kutoka europe????πππππππ