sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
Miji hii inakua kila uchao...kwann isiendelee kua ndio sehemu pia yakuonyesha nbo au Dar wamefanya nn so far...utafika muda tu ambao kila mtu ataridhika kwamba kweli xxx anamzidi nnnn kwa abcdThis thread will never end with a winner...
If we had Rwandese or Ugandans wenye wamezuru miji zote mbili ndio wangetoa uamuzi dhabiti... But since people must talk endeleenitu
sure time will tell...Miji hii inakua kila uchao...kwann isiendelee kua ndio sehemu pia yakuonyesha nbo au Dar wamefanya nn so far...utafika muda tu ambao kila mtu ataridhika kwamba kweli xxx anamzidi nnnn kwa abcd
comrade hawa watu ni washamba sijapata ona.Kadoda! Nimecheka sana! Hata makande ya bongo yana pikwa vizuri, hiki kama chakula cha BATA!
Una miaka mingap Anko???? Et roho ituume kwa mond kuja Kenya kitu kisichowezekana???acha utoto
Genuine question: Magufuli na serikali ya Tanzania huishi Dodoma ama Dar?
Staki izo matusi zenu tumezizoea na zinaboo.
Different countries have different priorities and owning a car is not a measure of development. In Tanzania, particularly in Dar es salaam a number of people are opting out to use their private cars to ride buses (BRT) because it's more efficient. As they say here different strokes for different folks, Africa is a big continent so don't paint all of us with a broad brush.
You wish.lol......dodoma tunaipatia tu wajir town bila pressure.Mombasa nayo in reality might even be bigger than Daresalaam town
It's a small town however much you try to advertise it.Thinking of Visiting Dodoma?
Please show no hesitancy,
Some of hotels in Dodoma
View attachment 718883View attachment 718884View attachment 718885View attachment 718886View attachment 718887
The BRT passes through the slums of Dar and as you know slum people are poor hence affording a car is a gigantic task. Kubali upungufu wenu Kaka.Different countries have different priorities and owning a car is not a measure of development. In Tanzania, particularly in Dar es salaam a number of people are opting out to use their private cars to ride buses (BRT) because it's more efficient. As they say here different strokes for different folks, Africa is big continent so don't paint all of us with a broad brush.
You wish.
Upungufu upi wewe yaani unafikiri kwa kuwa Nai ina slums unadhani kila sehemu inayo?The BRT passes through the slums of Dar and as you know slum people are poor hence affording a car is a gigantic task. Kubali upungufu wenu Kaka.