Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Before removing a spec on my eye remove yours first you yourselves keep posting fish market sijui food market sasa iyo ata iko nyakach village
 
Cheer!!! This is an open truth!
 
Only 20000 paved??? I pity u
 
Penye ukweli uwe ukweli. Dar bado haijafikia Nairobi physical infrastructure, economically, technologically, dev commitment, etc
 
Da!; Hii thread imevamiwa !!
Unaposti na kujijibu!!

yule shoga Mkenya alidhani kukurupuka kuanzisha thread ya kuipambanisha mwanza na eldoret, ingesaidia kututoa nje ya hii thread ya dar vs nairobi.

alisahau kwamba watz kiasili ni mabingwa wa propaganda na watu misimamo isiyo yumbishwa na majirani zetu.

Ile thread, toka alipo ianzisha mpaka sasa ina pages chache.
 
Hawa jamaa tayari tumeshawaweka kwenye kilengeo. TZ is very powerful. Jana waziri mkuu wa Ethiopia alisema Ethiopia na Tanzania ni nguzo za EA na Africa kwa ujumla. Ni nchi zisizo yumbishwa na upepo wa wazungu.
 
Copa CocaCola Upperhill goes on
Hapo jangwani au!? Mbona pamepauka hivyo!? Ndiyo maama mnaogopa kuweka maeneo. Sasa hivi mmeanza kuonesha reality. Nakupongeza mh. Edwardo kwa uungwana. Nadhani unadamu kwa mbaali ya kibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…