Kambalanick
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 1,157
- 1,052
Mimi naona Tanzania ni nzuri mnoo ndo maana wakenya kila mtu anatamani kuja hapa..sisi kwetu kuzuri kuna asali na maziwa ndo maana tumetilizana kwetu tuki-enjoyMagufuli mwenyewe alisema "kenya ni country no. one with 547 Kenyan owned companies inside Tanzania".
Innovation???????????Hahhahha huko pagumu au sio Tanzania ndio nchi yenye telecommunication companies 11 nyie muna 3 bado unataka ushindani wewe
Mm bado nakuonesha kua Tanzania is super giant to u hahahahahahhahaInnovation???????????
Alafu unipe innovation ya tz recognized globally
Hehehehe naona dar inakupeleka mbio sana