Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesikitika sana.. kumbe tuna enza tukapotezeana muda kubishana na mtu ambae ata hajui tuna ongelea nini!! Hiyo particular toll road tunayoiongelea haijawa built na govt Imekua built na pension fund kwa kutumia pesa za wana chama wake. Kama unajua hizi funds zina obligation ya kuwekeza funds za wana chama kwenye projects ambazo zina minimal risk. Hapo imetumika PPP ya Build operate & transfer (BOT). Please next time be informed in the matter at hand before engagement so as we can save each others time.
 
hahaa.. mkuu hiyo Hq ya Gor inakua broken image, fanya mandingo
hahaha nimeitafuta nimeikosa team yao haina hata kibanda cha ofisiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ achilia mbali ofisi yenyewe
 
hahaha nimeitafuta nimeikosa team yao haina hata kibanda cha ofisiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ achilia mbali ofisi yenyewe
Itakua some where in Kibera maana ile timu ni ya wajuluo. Mwezi ujao Simba wana anza ujenzi Mkubwa wa ofisi mpya nakumalizi uwanja wao wa mazoezi
 
unionyeshe headquarters ya arsenal,chelsea,manu etc,hawana headquarters ila wana stadiums na hapo ndio main..sasa yanga sijui iyo headquarters wanafanyia nini
heheh hata kibanda cha gor mahia hamunaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ team haina hata ofisi
 
Itakua some where in Kibera maana ile timu ni ya wajuluo. Mwezi ujao Simba wana anza ujenzi Mkubwa wa ofisi mpya nakumalizi uwanja wao wa mazoezi
hahaha hawana hata kibanda cha kusingizia angalia bus laoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahaha hawana hata kibanda cha kusingizia angalia bus laoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hii ni aibu.. This is the most successful team in Kenya with the biggest fun base. Sasa hiyo ngazi ni ya nn!? au wasipotoshana wengine waka kaa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…