Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa akili zako ndogo unaweka kajumba kamoja less than an acre na kudai ni pasafi? wabongo mna shida za bongo.
Acha wivu bwana mdogo Mlimani city ni sehemu kubwa sana, hiyo ni portion ndogo sana ya Mlimani city. Nairobi is now in the list of dirtiest cities in Africa
 
Acha wivu bwana mdogo Mlimani city ni sehemu kubwa sana, hiyo ni portion ndogo sana ya Mlimani city. Nairobi is now in the list of dirtiest cities in Africa
dont forget and slum city in the world😀😀😀😀😀😀😀😀
 
acha tuone hiyo wakanda taifa fake litawasaidia vipi wakenya wa turkana kuacha kula mizoga ya punda sababu ya njaa kali
acha tuone hiyo wakanda taifa fake litawasaidia vipi wakenya wa turkana kuacha kula mizoga ya punda sababu ya njaa kali
Haha tulia brathe, hio ilikuwa AOB tu lakini unafaa kujua Kenya inatambulika sana nje ya Africa. Kenya has been showcased in Europe and the Americas, nenda ISA uulize Tanzania utaambiwa huyo ni nani. That's a fact. Hata mtu anaweza kujua serengeti lakini hajui Tanzania kitu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…