Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cheki hata Togo na Guine bisau zipo juu yenu...shamba la bibi kweli
so wewe kwa akili yako tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya so unategemea index tutakaa sawasawa maana utumie akili tu sio nguvu na hapa wanaangalia networks of roads
 
watasema walionewa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
so wewe kwa akili yako tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya so unategemea index tutakaa sawasawa maana utumie akili tu sio nguvu na hapa wanaangalia networks of roads
Mauritania ni kubwa kuliko Tz...come up with another excuseπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
with 3 million people unafkiri watapeleka barabara misituni wanaangalia mzunguko wa mikoa na barabara punguza upuuziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Uzembe tuu πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…