Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oh My God...those apartments at the pinnacle are epic..hehe...hope by 2020 nitaweza ku afford😀😀
 
hahahh huu mrandi utatekeleza majukumu ya ata 1million people,project kidogo sana ata haifiki 5 billion...kazi ni kubishana na kukataa kila kitu...
Hiyo ni expansion project.. Soma vizuri uelewe. Halafu Dar ina pokea maji kutoka miradi miwili mikubwa ya lower Ruvu na upper Ruvu. In total ina supply zaidi ya littre million 600 kwa siku. Dar kama mtu hana maji ni kujitakia au shida zake binafsi na ni very cheap. Kama unabisha go google. Karibu Dar toka uko kwenye KIU JIJINI [emoji13]
 
What kind of uniform is that. Even our NYS have better dress code.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…