Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mavi iko kila mahali
keko mwanga tialalalalalalalalalalalalalalalalalalalalalalalalalallalalalallalalalalalallalalallalallaalalallalallalalalalllaallaalllalllllallalla
 
yani wewe akili ni kwamba kile wanachofanya uganda na sisi tufanye mbona tuna BRT na hakuna nchi east and central africa wanayo hilo huwez ongea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
37.23 kilometres long entebbe expresswayπŸ™πŸ™πŸ™
 
Okay Uganda imetuzidi tena mbali sanaaaaa but it will never be Kenya
hasira zimewashika wanapost sijui picha za siera lione wakisema darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio compe eti nani anakuja nani haji. IMF/WB axis wako biashara buda same way US Secretary of State Rex Tillerson anakuja Kenya next week for their interests. Na sio compe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

US Secretary of State Tillerson coming to Nairobi
wageni tanzania hawakatiki juzi tu rais wa fifa kaondoka mara mkubwa wa WB education anakuja mara boss of what sijui anakuja huoni raha hioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
heheh wakenya endeleeni kuweka picha za siera lione na nigeria sijui congo mkisema dar hahaha ila dar hamutaipata in out na atakaeleta ushahidi kwa anachopost nampa dada yangu bure kazi kwenuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…