Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kujilinganisha na watu walioshindwa wewe, kwasababu kuna watu wanalala barabarani kwahiyo unaona ni sawa kama unaishi slums za Kibera?
 
haha.... kama ushawatch game za England za Championship, utakubaliana na mimi kuwa huo uwanja wetu ni mzuri sana. nimesahau team ambayo ilicheza na Tottenham last month..... wish you could see the stadium
 
Viwanja vyenu vizuri sana[emoji23][emoji23]
 
haha.... kama ushawatch game za England za Championship, utakubaliana na mimi kuwa huo uwanja wetu ni mzuri sana. nimesahau team ambayo ilicheza na Tottenham last month..... wish you could see the stadium
Buda.. mbona unakua mbishi sana, hizo games nazi watch sana. Mimi ni mtu wa soccer na leo nita angalia KPL yenu nione viwanja vyenu na technology yenu.

Hiyo match unayo sema ili end draw ya 2-2 na hiyo timu ni Rochdale. Kwakua ni mbishi ngoja niweke picha ili wengine waone. sasa huu uwanja utafananisha ni ule wenu [emoji1]
 
hakuna mtu amesema tuko perfect ila tunajaribu kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi ndio maana unaona tanzania imeshika nafsi ya kwanza kwenye inclusive economy in africa na kwanza ujue maana ya inclusive economy ndio utafahamu naongea nn hapa
 
Hahahaha umemshika pabaya sana, hao ndiyo wakenya tunaowajua, watadanganya kila kitu, muhimu kwao waonekane wapo juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
acha porojo.
 
Iliisha 1-1. Harry Kane alikomboa dakika za 80 huko. Uwanja ulikuwa umepakana na nyumba za ghorofa, watu wamesimama kwenye madirisha.
Kisha ile game ya Arsenal pia na some lower division team, ended 4-2, uwanja ulikuwa kama zizi la ng'ombe
 
Hahahaha umemshika pabaya sana, hao ndiyo wakenya tunaowajua, watadanganya kila kitu, muhimu kwao waonekane wapo juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu.. hawa kiboko yao ni sisi kwakua tuna wajua vizuri, uki kuta Mkenya anabishana na Mnyarwanda una eza ukamwonea huruma Mnyarwanda. Nina furahi sana mnavyo wanyoshaga humu, ubishi kama huu nilikua naufanyaga face to face kipindi hiko ninasoma nao.. walikua wana kesha wakinitolea mipovu
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Iliisha 1-1. Harry Kane alikomboa dakika za 80 huko. Uwanja ulikuwa umepakana na nyumba za ghorofa, watu wamesimama kwenye madirisha.
Kisha ile game ya Arsenal pia na some lower division team, ended 4-2, uwanja ulikuwa kama zizi la ng'ombe
umenyoroshwa videadly. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
comrade nimekuvulia kofia kwa kunyorosha hiyo mugger. keep up the good work. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…