Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni wazungu wakenya,so sijui mtazamo wako na racism yako ya rangi vinakuja vipi kwenye huu muktadha.
tazama watoto wa ktz hawa. achana na hao wazungu wa kenya.

NB:
kwa wazungu michezo kama hiyo ni kawaida huko kwao ughaibuni, kwasababu mitaa yao ipo friendly kwa kufanya stunt kama hizo.

but ukiona mtoto wa kikenya au ktz anafanya vitu talented kama bmx freestyle lazima apewe sifa cos wengi wanajifunza katika mazingira hatarishi.
 
hapo unauwa watu.... maana hawawezi fikia hiyo level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…