Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kazi ya tax ni nini?....iyo ni kukulwa na wanasiasa...serikali inamajengo kama KICC,times tower but privately owned ndio kusema hapa

sent from iPhone 7
Sikulaumu bali nitaendelea kukuelewesha, haya majengo yanajengwa na mashirika ya hifadhi za jamii kama NSSF, hata huko kwenu baadhi ya majengo ni ya NSSF, dunia nzima mifuko ya hifadhi za jamii huwekeza katika non risky projects kama majengo, Kenya ni nchi pekee ambayo peza za mifuko hiyo hutumika kukopesha wanasiasa na kufanyia kampeni za siasa, badala ya kujenga nchi, stupid failed state.
 
Ukiwa umbeya kuenda choo unabeba jembe kiwanjani unachimba chini kiasi unamaliza shughuli then unazika
Sasa kama unafahamu best way ya kuhifadhi, kwanini sasa ninyi mnakunia kwenye mitaro?, cholera will be your friend forever
 
Wabongolala walishindwa kuuza movie zao...wananyingi sana lkn Bure 2..wakaamua kupoteza flavour movie zingine kwa kutafsiri.kwa lugha yao mbovu....ambayo wanajiuzie hao wenyewe.....yani hawanaplan..badala watengeneze zao
 
kabisa wakenya wote ni kunguni
 
Wabongolala walishindwa kuuza movie zao...wananyingi sana lkn Bure 2..wakaamua kupoteza flavour movie zingine kwa kutafsiri.kwa lugha yao mbovu....ambayo wanajiuzie hao wenyewe.....yani hawanaplan..badala watengeneze zao
Hapa kama unapoint hv. ..

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…