Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

safi sana.picha babkubwa.


kama kuna mtz au mkenya ata catch mafeelings kwa hizo picha, mpeni pole sana. mwambieni siasa inayohusu vita ya kiuchumi hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
 
Wapi wameandika dar???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Dar kuna milima na lake πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Leo nimeshika kwenye makendeπŸ˜›πŸ˜›
Dar kuna jua kupita kiasi...joto kaa umbwa.na kinamama wanapita na samaki cbd......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…