Mbona unatoa povu juu ya 2.5 miΔΊΔΊΓ―on pple in Kibera. Naongea na karaho wa hapo afya center. Punguza hasira buda au wewe ni kanjo. Makanjo mnakuwaga na hasira sana2.5 million people wanaishi kwa akili yako. Nilikuletea data vizuri na link inayoonyesha kibera iko na watu 250K,lakini kichwa yenye ina uji haiwezi kuelewa, pole sana ila sikulaumu. Unalala tu alafu unaota kibera ina 2.5 million people kesho yake unaropokwa. Akili ya utoto.
umesahau Abedy ngosso a Tanzanian chose to stay in Kenya to do music...
Christina shusho pia alihamia Kenya akahepa LDC....
Nyuki pia alihepa tz kufanya mziki Kenya....
Alikiba pia ni kama amehamia Mombasa.......
Diamond pia kila weekend lazma aje pool party Kenya .....
Oh Ommy Dimpoz pia aliishi huku pamoja na Venessa Mdee.....
as I said...matusi mtarusha lakini mtakuja tu in the most developed country in East and central Africa....
hata joto la jiwe najua anapanga kuja Kenya....Hahaha.Mje wote tunywe tusker.....my fren.....ama namna gani..."in William kipchirchir Samoei Ruto's " voice....
hapa sifanyi utani.I thought les wanyika were mijikenda from coast.....ama ni utani unafanya
Hio font haibambi joh. Hahakumbe hata wewe ume notice. safi sana.
kwa hili tupo pamoja. [emoji23]
Mimi nilianza kuenda gym nikashindwa. Hio kazi inataka uwe unakula vizuri na uwe consisttent, usiende mwezi moja ukaacha.Wananiita Jiwe kwasababu huwa nikimpiga mtu ngumi, ni kama amepigwa kwa jiwe, kwa ufupi mimi ni jitu la mazoezi, kifua ni kama ukuta wa nyumba, na ngumi yangu ni kama jiwe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Hizo ni kama government primary school buldings za Tz.. Hamna kitu hapo, post something tangible... rudi upper hill urudie zile picha ambazo mmesha post mara 10,000 [emoji1]
Hehe wazi brathePoapoa[emoji23][emoji23]
Ni settings za simu sio jf appNatumia hii new updated JF App sioni font style
So there's a time in 2016 i think, when I lost my phone and so my girlfriend gave me her phone which she had just replaced to use meanwhile since the week had just started and i had to wait till the weekend to get a new phone.binafsi huwa najisikia fahari sana ninapo ona mtz anakuwa anafanikiwa na kuwa mashuhuri katika nchi ya ugenini, iwe nchi za africa,america, uropa au mashariki ya mbali.
speaking about abeid ngosso, nilikuwa simfahamu.ila niliposoma post yako na kwenda ku search youtube, ikaja video ya wimbo wa gospel ambao ninaufahamu vizuri sana.
ila nilikuwa sifahamu kama muimbaji ni mtz.siku zote nilikuwa najua muimbaji ni mkenya.pia nilikuwa sifahamu kama jina la muimbaji ni huyo abeid ngosso.pongezi kwake, wimbo wake una upako mwingi sana.
NB:
hawa ni baadhi ya wakenya wanaoishi tz na kujipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa watz kutokana talanta zao.
So there's a time in 2016 i think, when I lost my phone and so my girlfriend gave me her phone which she had just replaced to use meanwhile since the week had just started and i had to wait till the weekend to get a new phone.
So I went through her playlist and there is one song I found and I got stuck on.
It was this song by Abbdy ngoso and I must say this song is so nice that whether Christian or Muslim or any religion you will just listen to it.
I didn't know if Abbedy was kenyan or not, but it's a nice song, hata sijawai tafuta ngoma yake ingine ni hio tu najua.
We broke up with her and nowadays whenever i listen to this song it always reminds me of her.
I'm happy for guys who come and make it here and make kenya their second home. Mtu kama Kidum alikuja huku kitambo and he is a big person now, pia Solomon mkubwa naskia hata hakuzaliwa mkenya. And for a fact that is kenya, where we don't care where you come from, as long as you have good content you are loved equally and you can't resist making here your permanent residence.
I hope there are Kenyans also making it in tanzania
Hakuna shortcut ni lazima ujitume na uwe na nidhamu ya mazoezi sanaMimi nilianza kuenda gym nikashindwa. Hio kazi inataka uwe unakula vizuri na uwe consisttent, usiende mwezi moja ukaacha.
Ningependa kuwa na mwili nijenge kifua ila siwezani na gym. Kuna shortcut kweli?
Usijali kaka, it was officially launched last year, na inafaa kukamilika 2020 hapo. So bado tuko kwa timeline ile walipeana. Na wacha too much salthapa munajenga nini???πππππ hii picha ya lini????
since 2014 munachimba tu hahahaπππππ leo hii feb 2018 kuchimba tu
kumbe GDP haijasaidia
Kwani umeshikiwa Wembe ukubali?hizo mbuzi beach sina haja nazo.....I only rep my city NAIROBI........
Wewe kaa apo kibera mang'aa huna diraYaani Dar ni izo shacks na hizi buildings tatu tu? Haha!
KilazaTPF, MNF sijui na BFF