Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tukiwambia dar es salaam hakuna slum huwa wanabisha.

mpaka dakika hii,ndani ya mtandao wa instagram hakuna tag ya dar es salam slum. labda tag hiyo iwekwe leo na wakenya wa jf kwa ku-upload picha za dar zilizopigwa wakati wa mafuriko au mvua kubwa wakati wa masika.

thanks be to instagram for hashtags about kibera slum.



 
 
muonekano wa kibera slum mwaka 2018.

asante sana instagram kwa hashtags. kazi ya kutafuta picha imekuwa rahisi sana.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

DAR RIGHT NOW 1809 HRS 19TH FEB 2018
 
muonekano wa kibera slum mwaka 2018.

asante sana instagram kwa hashtags. kazi ya kutafuta picha imekuwa rahisi sana.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…