Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lift ya kwanza 2014 na wanaiita city. Yani mbeya ni city na huku Nakuru na eldoret ni towns [emoji79] [emoji79] ...wabongo mtatuonesha mambo.. Tutarajie marais kadhaa kualikwa kwenye uzinduzi wa flyover ya kwanza Tanzania [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Si ajabu...wanaweza tuma invitations by the way. Hawa vilaza ni watu wa ajabu sana
 
mbona hasira... nini mbaya mugger?. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
who told you dar ime handle 20million tons 2017 na link niliweka hapa wewe ulikua wapi???
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sasa niletee link ya 30million tons kuhusu kwenu
Weka iyo link Tena ...12 million was handled by dar port
 
Twatarajia sherehe za kimataifa, itakuwa national holiday, nafikiri raisi wetu ataalikwa lakini atakataa kuenda lol.
 
aisee in my life sijawah kukutana na kijana kilaza kama huyu...

ndugu tourism town in tanzania nikikutajia utakimbia humuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Arusha - saerengeti na ngorongoro
mwanza - sanana island na bismarck rock
unguja- beach resorts and marine reserves and island
pemba -beach resorts and marine reserves and islands,
mbeya - kitulo national park with waterfalls,
iringa - ruaha national park biggest national in east africa,
mafia -beach resorts and marine reserves and islands,
dar es salaam -beach resorts and marine reserves and islands,
kilimanjaro - kilimanajaro national park
tanga - saadani national the only national park along ocean in africa,
morogoro - mikumi national park na udzungwa water falls
pwani( selous the biggest fauna reserve in the world),
kigoma - gombe stream national park the only national park with many chimpanzee in africa,
katavi - katavi national park the only park with many hippo in africa
kagera - rubondo national park and island

nimekutajia baadhi ndugu kama unataka data yoyote niulizeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Eti tukifika level hii!? What have you been smoking of late my brother? I'd like to try it too
umia tu hakuna namna nyingineπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…