Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

....hio pia imepigwa 10yrs back?? Haya fair enough tuletee latest photo imepigwa hivi.....ata mtoto mdogo can see Nairobi is miles away from dar. Development dar ipo concentrated at one point which is less than 20% of the whole Dar es salaam
maneno ya mtu mwenye kujipa moyo 😀😀😀😀😀😀😀 yani nairobi inaingia mara tatu kwa dar, narudia nairobi inaingia mara tatu kwa dar
 
Kama ambavyo ninyi mnatufukuza katika kukua kwa uchumi, juzi mlikuja kujifunza jinsi BRT inavyofanya kazi, CS Balala alikuja Zanzibar kujifunza utalii tunavyouendesha kwa mafanikio makubwa sana,[emoji12]
 
tazama umbali wa photo alaf hio photo imepigwa almost 10 yrs back kwasababu majengo mengi sana hayapo hapo 😀😀😀😀😀😀😀 hapo hatujagusa kariakoo ndugu
View attachment 696380 View attachment 696381
Mombasa city

umenyorosha hiyo mutu kwa hii comment.my favorite comment for today.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
kilaza sio tusi, ni sifa.
lingekuwa ni tusi ningeshapigwa ban tangu siku ya kwanza nilipoanza waita wakenya "vilaza". [emoji23] [emoji23]
Honestly if you have no point their is no need to quote me na kuniita takataka ama Kilaza.. Respect your age..
 
Honestly if you have no point their is no need to quote me na kuniita takataka ama Kilaza.. Respect your age..
umepaniki.[emoji23] [emoji23]

mtajua kuwa hii game nyinyi ni armatures.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
umepaniki.[emoji23] [emoji23]

mtajua kuwa hii game nyinyi ni armatures.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenyan news nikama series... waifwata religiously...

Napanik nini sasa?
 
kariakoo haijaguswa hapo bro hio ni mnazi mmoja area ndugu usichanganyikiwe bure😀😀😀😀😀
kariakoo is home to 36,000 people....an overrated piece of place similar to ordinary estates in eastlands......kweli we deserve 30 cbds going by Dar slum levels.......
 
umepaniki.[emoji23] [emoji23]

mtajua kuwa hii game nyinyi ni armatures.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuoneshe good side of dar es salaam hii unafanya ni utoto jibaba lizima la 50yrs kuzunguka internet Sikh nzima kutafta negative stories about Kenya.......mbna usiconcentrate na kutonesha good sides of dar es salaam kama wenzako mature kina ndinda na tuusan ama zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…