Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waswahili,, apart from umbea na masengenyano.... ni kazi gani nzuri mnayoeza kufanya?
 
very poor military tactics. their security organs are not well organised.

ndio maana kdf haitakuja wahi kuwamaliza alshabab. labda alshabab waamue wenyewe kusitisha harakati zao.
 
Waswahili,, apart from umbea na masengenyano.... ni kazi gani nzuri mnayoeza kufanya?
kusaidia kenya chakula,kusaidia kukuza mziki wa kenya, kujenga brt, kujenga sgr, kujenga flyover ya tazara, kujenga flyover ya ubungo, orodha ni ndefu sana ziwezi maliza. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We are in the 3000th page and Tanzania is still an LDC.......they blame Kenya and not imf
 
Haya sasa wakenya fursa hiiyo..afu mjue c tunawapenda sema hampendeki yaani..
Sasa tunakuja kufufua mziki wenu sawa wadogo zetu????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahaha kuishiwa nayo.....ningekuona mjanja sana kama ungekuwa una-share discussion za watz from other source other than jf,kama vile sisi tunavyoleta screenshot za wakenya toka twitter.

but ku-share discussion za watz from one jf thread to onother ni u-kilaza wa hali ya juu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tangu nianze ku-surf internet, miaka yangu yote, kwenye forums tofauti tofauti za ulimwenguni, ni wananchi wa nchi tatu tu pekee barani Afrika ambao mara nyingi huwa nakumbana nao ambao ni Wakenya, Wanigeria na Waafrika Kusini.... Wazimbabwe pia wanajaribu. sasa tanzania juu haielewi kiingereza, itatoa mchango gani wakueleweka na wa kuchukuliwa serious in any social media apart from kujibana hapa jf?
 
We are in the 3000th page and Tanzania is still an LDC.......they blame Kenya and not imf
one of our brother from ldc will soon launch an office/studio in nairobi that will help to promote your poor music industry.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwa hivyo hao sio watanzania....acha kuwa ivo kijana mzee
 
one of our brother from ldc will soon lunch an office/studio in nairobi that will help to promote your poor music industry.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
the appropriate word is launch. now you in the know. sema asante.
 
vile vijana wa kikenya "wasio na job" walivyochangamkia fursa walipo soma tweet ya diamond platnumz kuhusu kuzindua office ya WCB kenya.

btw hizi ni screenshot za wachache tu, but wapo wengi wanaondelea ku-tag wenzao mpaka sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

safi sana vijana, nimependa mlivyochukulia serious hii issue, this is the golden opportunity for artists.

msiwafatishe hawa "muggers" wachache wa jf.
 
tangu muanze kujihusisha na hizo forum za ulimwenguni ambazo wachangiaji hutumia lugha ya kingereza,mmepata nini cha ziada ukiachilia madharau na matusi mnayotukanwa na wanaijeria?. [emoji23] [emoji23]

kuna wakati mlidai kwamba mnataka kuachana na jf ili muende nairaland, cha ajabu hadi hii leo, mpo hapa jf, na kila siku wakenya wapya wanajisajiri jf.

ukiondoa mtandao wa kikabila wa JamiiForums.com, ni mtandao gani wa kijamii wa kikenya unaweza simama na jf?.[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…