Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina time yako mtoto.
Building gani mko nayo hapo na ni nane mlituma pekee
I never answer that guy, he is one of the most childish guy ever on JF!! Tanzania maybe having many of such no wonder it has never developed despite of all the resources.

I can get pic of Kiambu Road
 
Nairoobi ni kitu cha mbali kwa Dar...ukiangalia hata barabara za Nairobi ni sumuuuu..ule mji mzuri bana acha kabisaaa...wangekua na bahari wangetupiga km 1000
 
Ametoa mauongo za Kizibo kule Skyscrapercity. Nilimpiga kule vibare na uongo zake eti hizo majengo za NHC anasema 30 floors wakati ni 15 floors. Alafu list limejaa proposed and concept buildings ambazo hazijengwi na hazitojengwa.
 
Hahahahhahaha hutaki zijengwe na zishaanza kujengwa huku ni kazi tu sasa hvi hajhahja na sasa tumehamia kwenye barabara na flying over pamoja na electric trains hahahhhahha
 
Nairoobi ni kitu cha mbali kwa Dar...ukiangalia hata barabara za Nairobi ni sumuuuu..ule mji mzuri bana acha kabisaaa...wangekua na bahari wangetupiga km 1000
Mawazo yako tu hhahahhahaha changanyeni kisumu na mombasa alafu muje sasa hahahaahahaha
 
I never answer that guy, he is one of the most childish guy ever on JF!! Tanzania maybe having many of such no wonder it has never developed despite of all the resources.

I can get pic of Kiambu Road
Hahahahaha munalia nn sasa hahhha
 
Sina time yako mtoto.
Building gani mko nayo hapo na ni nane mlituma pekee
Nyie mlituma nne tu hahahhahha mumekimbia mpaka sasa hvi hamutaki kuskia hahahhha bongo hatari na ruksa muletee kisumu na mombasa tumewapa
 
Vijana wa Nairobi bado mpo!!? Mnataka tuende kwenye nini? Namuona Edwardo anakuja zigzag tu. Twende kwa utaratibu.
Leteni mwongozo tuwachape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…