Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I said here before, not untill Tanzanian govt educate well the Citizens, they will never go anywhere... They have to work on the software before the hardware...
 
Wewe unasema rafiki. Mlikuwa mbele miaka ya nyuma na siyo sasa. dude hilo linashuka kwa kasi. Mwaka huu linaaza kazi. Mtakoma sasa wageni watakuwa wanakuja moja kwa moja bongo.

Bongo ya 90s siyo ya sasa rafiki

Zile vibanda vya mwanza na arusha ndo mnaongoza nazo?
 
Kama mabweni ya University of DODOMA, Hahaha!!
Hehehe...sura umekaza kimwanaume lakini moyoni unaumia sana. aya basi ebu leta aerial photo moja tu inayoonyesha mitaa za dar. Na Isiwe zile picha za mbezi beach mnaletanga huku. Nasubiri
 
Africa's Fastest Internet Speeds (MBPs)

1. Kenya = 12.16
2. Rwanda = 7.69
3. S.A = 6.74
4. Mauritius = 5.74
5. Morocco = 5.17
6. Lesotho = 5.07
7. Tunisia = 4.45
8. Nigeria = 3.85
9. Cape Verde = 3.85
10. Angola = 3.72
11. Zimbabwe = 3.69
12. Congo = 3.46
13. Ghana = 3.37
 
Umeanza kuchanganyikiwa kabla mambo hayajaanza kunoga
Dude hilo linaingia siyo muda mrefu

Kumbe haiko, ndio inakuja?! Safi sana, sasa tafuteni rika zenu mcheze nao mchezo wa kalongolongo, sio KQ. Kq has been in this industry for the last 45 years wakati nyinyi hata kutembea hamjaanza, bado mnatambaa. Lanes please, lanes!!!
 
Tulia mziki ukuingie vizuri
Pitia video hii kwanza kabla hatujaanza mambo.

I thought you gonaa bring Tanzania's biggest Telco revenues' here to challenge Safaricom. Zombie
Unanionesha reports za 2015. Huoneshi umezitoa kwenye website ipi. Are you crazy or something!?
 
Kumbe haiko, ndio inakuja?! Safi sana, sasa tafuteni rika zenu mcheze nao mchezo wa kalongolongo, sio KQ. Kq has been in this industry for the last 45 years wakati nyinyi hata kutembea hamjaanza, bado mnatambaa. Lanes please, lanes!!!
Zakuuuuu Leaseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…