Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukitaka kukasirisha mtz post picha kama hii na useme hapo ni Kenya...BTW, its true, thats the Amboseli national park in Kenya...

Considering that most people don't want to climb Kilimanjaro but just to see it,the most logic way to market it goes like this.... ''Want to see Kilimanjaro,the highest snow-capped mountain in Africa,visit Amboseli-Kenya for a beautiful backdrop scenery with plenty of wildlife for once in a lifetime unforgettable experience!'' 😀😀😀
 
Laughable....mwenzio anasema ya 50km ndio inajengwa!
Akisema inajengwa does it mean zingine haziko? wewe ni bongolala kweli. Ebu Google distance kati ya Nairobi na thika ni kilometer ngapi nugu wewe. Alafu hiyo aliyotaja ni 50 kilometres but it's already dual carriageway, ni vile tu the government wants to expand it from the current 4 lanes to 8 lanes. Yes, 50 kilometres,8 lanes. Weza wembe ukipenda.
 
kilimanjaro inaingiza watalii kuliko watalii munaopokea kenya nzima kwa mwaka 😀😀😀😀😀

munapokea watalii 700k kilimanjaro pekee inaingiza watalii zaidi ya 700k😛😛


tanzania 2017 imeingiza 2.4 b usd

kenya imeingiza 350m usd bado unataka turingane😀
 
Vibaka haooooo
 
Nai
 

Attachments

  • 5431721_c7sgz17x0aad5zx_jpglarge_jpega030c89d307e3ec7fbacb916bddfe479.jpg
    122.9 KB · Views: 45
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…