Huku Hatuwez kuweka 6 lanes kwasababu once BRT ikifika pande zote za Jiji na Flyovers + Intersections zikimalizika hakutakua na Foleni..it has 6 lanes pande moja...so a total of 12 lanes....kisha urefu ni 50km and even then we dont see it as a big dal jinsi mnavyo imba imba hizo flyover zenu...
true...hii lazima madereva wawe wamezoea ila nina uhakika hata huko ng'ambo huwa wanapata shida sana haswa madereva ambao hawajawahi tumia sehemu hiiI see! Hizi ndiyo flyovers... Kama ni dereva wasiwasi unaweza jikuta ukipotelea huko huko juu, na ukishuka unajikuta upo sehemu ambayo hujakusudia kwenda...
Usiwe mshamba thika road haina flyover ni interchange hizo hata Dar zipothika road alone sijui ikona flyover ngapi...mingi sana hata kama fupi fupi
hivi nikuulize wewe kenge what is a flyover?Usiwe mshamba thika road haina flyover ni intersection hizo hata Dar zipo
Mzee unafananisha Tazara flyover na hivyo vidaraja substandard vya 10 metres?"one of the modern"? Kwanza, tumia kiswahili. Pili, unamaanisha nini by saying modern? what am seeing is an ordinary road with an elevated section.
It's so funny that you can count the mumber of dual carriageways in Dar! Is that really a city? The other time you were even counting the number of footbridges in your city. I was suprised that the total number of footbridges in Dar can't even reach half the number of footbridges on thika road alone. Sasa leo mnacount hadi the number of roads with dual carriageways! In Nairobi they are so many we can't even count. Another reason why this comparison is useless.Dar ina barabara kubwa nne hizo nne ni Dual Carriageway. Nazo ni Mandela Road(Sam Nujoma),Nyerere(Bibi Titi,Ali Mwinyi), Morogoro Road,Kawawa Road.
Fupi hapo ni Kawawa ina kama 10km hivi, hio Nyerere ina kama 40km(airport to tegeta),Morogoro road ina kama 20km na Mandela nayo kama 20km hivi. Hizi dual carriageway ndio zinakufikisha popote utakapo around Dar.
Safi sana huo mzigo...the only flyover I can be proud of is this one if it was built in Kenya...sio hizo barabara zimeinuliwa mnajigamba gamba nazo...this is my example of true flyover development...this is spaghetti interchange consisting of numerous flyovers at one place
Tazara is two-lane elevated road while "daraja" zetu ni four lanes. Now which one between the two is superior?Mzee unafananisha Tazara flyover na hivyo vidaraja substandard vya 10 metres?
Kuwa serious!
kuna mjinga flani anaitwa mulisaa...hii hapa pangani flyover
Haha kubaya hadi kunatia hasira [emoji23]Beautiful Nakuru town
okay no problem ila flyover zipo kama vile outer ring na kadhalika...sijui ia kama hio utaita daraja😀😀Hiyo sio flyover nituta la barabara limeinulïwa even the class 4 engineer in TZ can do that
kuna mjinga flani anaitwa mulisaa...hii hapa pangani flyover