sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
Station zetu zitakua za kimataifa kuna mtu kanidokeza render zitatoka soon nasikia ni fire hizo zenu zitasubiriWeka renders za station zenu we compare with our current ones.
mchina mtu bad sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weka renders za station zenu we compare with our current ones.
Tengezeni kwanza mtawacha logologo lini... Huku nikazitu.Station zetu zitakua za kimataifa kuna mtu kanidokeza render zitatoka soon nasikia ni fire hizo zenu zitasubiri
Wanalielewa sana hilo sema wanajikuta vichwa vigumuApa wakenya watasubiri sana
zikwapi?ππππππndoto za almasi usituletee banaπππStation zetu zitakua za kimataifa kuna mtu kanidokeza render zitatoka soon nasikia ni fire hizo zenu zitasubiri
Nawaona Tanzanian spies to APA inside your Army
takataka...mji wa wakora.kadoda atashtuka tena aseme hapa new york
sio kwa povu hiloππ...maumivu yakizidi...takataka...mji wa wakora.
asante kwa viwonderTanzania ya viwanda hii hapa