Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeshikiwa kichwa na mzungu,sasa 70% ya watu million 50 ni 12M? Ujinga ni real kwako!!
quote vitu venye sense acha blablah
acha aendelee kuimba wimbo wa ldc...usimzuie.[emoji23]
 
sonko naona kaamua kuingiza politics kwa issue ya muggers wa CBD.

kuondoa ma-youth street za cbd haitasaidia kupunguza ukora nairobi.
bado watu watakuwa wanaporwa na kupigwa ngeta kama kawaida.

angeenda kwenye kiini cha tatizo ambacho ni ukosefu wa ajira.


NB:
katika hizo picha, kuna sura za wakora ambao nawafahamu, yupo collo na. mwaswast [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Thanks for render bro as usualπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Weka selfie tuamini ama ni ya baba/Muindi pale dukani ulipoajiriwa? Nasikia ukiajiriwa kazi na muhindi unafanya kazi hata za ziada bila malipo kama vile kuosha vyombo, kufua nguo na pia kupika?
sikuekei ww bogus kama unataka kuiona njoo getto hakikisha uje umevaa kangaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sikuekei ww bogus kama unataka kuiona njoo getto hakikisha uje umevaa kangaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Maumivu makali sana yamekushika ipasavyo
nilikwambia usiowaonyeshe vitu vizuri,watakasirika.....unaona sasa wameanza kujadili personality badala ya issues...hawapendi kuona watz wanaishi good life. wanataka sote tuishi maisha ya kikora kuibia watu mikoba yao cbd. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Wanaumia sana aise
 
Mi Niko kwenye matatu ni mwendo wa bedbugs na kizunguzungu kama vampire!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…