Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndinda katika ubora wako.haujawahi kutuangusha. piga kazi kaka na kama utahitaji nikuongezee bundle nicheki pm, ila najua huna shida ya pesa ndogo ndogo ya kununulia bundle[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Cheers Bro. Pamoja sana. Niko full . TTCL 10GB rudi Nyumbani, Halfu itabidi siku moja tukale Bata na akina Icoboy , Tussan Anael na team Nzima ya wachakazaji. [emoji23]
 
ni kweli mzee baba...itabidi tulijadili hilo off-thread. kuna haja ya kufanya hivyo.huu mwaka inshallah usipite hivihivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…