I thought you guys had an issue with mabanda yanayofanana......seems the tune has changed .it's good to see you guys adopting estate culture
umeanza magari,kuna mtu ana yard nayo kama 19 hivi hesabu za haraka.WESTSIDE MALL NAXVEGAS
Ndege yenyewe fokker 70 ya 70sππVipi mkiuza hii ndege ili mnunue mahindi kupambana na njaa?, ni wazo tu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] usifungie machoziNdege yenyewe fokker 70 ya 70sππ
Mbona sisi tupo kwenye top ten ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi?, hayo mambo ua kujaza sifa zisizokua na faida sio utamaduni wetu.[emoji23] [emoji23] usifungie machozi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa kwa chocha..mbna hampo mahali popote<br />Top 10 African presidents with the most expensive jets β Food and Travel β Pulse
So juu mnakiwa kwa kasi,inamaanisha mko juu kuliko kenya,SA,Ghana,.Mbona sisi tupo kwenye top ten ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi?, hayo mambo ua kujaza sifa zisizokua na faida sio utamaduni wetu.
Mnakua kwa kasi ila gap na Kenya inaendelea kuongezeka [emoji23] [emoji23]Mbona sisi tupo kwenye top ten ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi?, hayo mambo ua kujaza sifa zisizokua na faida sio utamaduni wetu.
gap gani linaongezeka hebu tudanganyeπππππMnakua kwa kasi ila gap na Kenya inaendelea kuongezeka [emoji23] [emoji23]
Ni mtu kichaa kama walivyo wakenya anayeweza kuamini upumbavu huo, kwamba eti gari lenye speed ndogo lililotangulia linalofukuzwa na gari lenye speed kubwa, lakini bado lile la mbele bado gap linaongezeka, ujinga huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnakua kwa kasi ila gap na Kenya inaendelea kuongezeka [emoji23] [emoji23]
Haya twendegap gani linaongezeka hebu tudanganyeπππππ
Sio kweli, lete source ya WB uliyoitumia.Haya twende
(GDPs from world bank)
Tanzanian - kenya - gap
2015. 43.7b - 63.1b - 19.4b
2016. 47.5b - 70.8b - 23.3b
55 - 51.3 = 3.7b diff keep it in ur mindπππππ according to world bank october 2017Haya twende
(GDPs from world bank)
Tanzanian - kenya = gap
2015. 43.7b - 63.1b = 19.4b
2016. 47.5b - 70.8b = 23.3b
Not funnyUchumi wa Kenya unakua kwa speed ya light, bei ya unga sasa kufulia dola za kimarekani 50 kwa kilo na mjini Nairobi kila nyumba ikipata bomba la maji bure pamoja na maziwa ukanda wa Karen kwa kuanzia
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hahaa we jamaa lazma una shida ya akili.....work bank ya kule Tanganyika au?55 - 51.3 = 3.7b diff keep it in ur mindπππππ according to world bank october 2017
endeleeni kupika data as usual
alaf ukumbuke debt to GDP ratio is 60% KENYA
Huo ndio ukweli nakupa endeleeni kupika data ila hesabu itawaumbua tuπππππHahaa we jamaa lazma una shida ya akili.....work bank ya kule Tanganyika au?
Deni ya Kenya ni around 43b USD which is 56% of Kenya's GDP...Fanya hesabu yako uache kutumia akili kama kukuHuo ndio ukweli nakupa endeleeni kupika data ila hesabu itawaumbua tuπππππ
kama nchi imefkia debt to GDP ratio 60% bado unasema kuna uchumi hapoπππππ