[emoji23] [emoji23] [emoji23] kadoda inabidi siku moja utupe historia ya maisha yako huko Kenya maeneo mengine nayasikia kwakohata misri, dubai, tunisia na mataifa yote ya kiarabu yana hali ya hewa ya joto.
pia niliwahi tembelea sehemu moja huko kenya inaitwa lodwar, kuna joto kali sana, dar haitii ndani.
Poa keti hapo[emoji116] [emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] kadoda inabidi siku moja utupe historia ya maisha yako huko Kenya maeneo mengine nayasikia kwako
For the first time nilidhani wewe ni mkenya
as i told you, i have been to lodwar some years back,that place is very hot.Iyo joto joo..nikiishi dar nakuwa mgonjwa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poa keti hapo[emoji116] [emoji116]
as i told you, i have been to lodwar some years back,that place is very hot.
and this is the current weather of lodwar.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaka kenya nimeishi kwa mda mrefu sana...there was a time taasisi niliyokuwa nafanyia kazi ilinihamishia kenya.
kutokana na nature ya career yangu, ilinibidi niwe nasafiri maeneo mengi ya kenya.
ndio maana huwa nakuwa na confidence kubwa sana ninapo argue na wakenya kwasababu naifahamu vizuri nchi yao.
weather wise dar ipo tofauti na lodwar.Lodwar na Dar ni same climatic conditions....very hot and humid
kenya tuitamani tushindwe kuja!!!!!ulisahau kusema mtoi wako anasoma Kenya na si Tz.....hahaha.Behind the scenes Kenya mnaitamania sana
two laned flyover in the 21st century??????????????????????????????????????????????????????current progress of tazara flyover, shape shifting day by day. hapa kazi tu.
usilolijua ni kama usiku wa giza...mtoi kwa sasa naishi naye tz na anasoma shule za tz.ulisahau kusema mtoi wako anasoma Kenya na si Tz.....hahaha.Behind the scenes Kenya mnaitamania sana
mbona hasira?... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]two laned flyover in the 21st century??????????????????????????????????????????????????????
Nataka nilete unga wa mahindi Kenya vipi soko Kwa sasa?ulisahau kusema mtoi wako anasoma Kenya na si Tz.....hahaha.Behind the scenes Kenya mnaitamania sana
kenya tuitamani tushindwe kuja!!!!!
while ni free kuingia!!!!buda hauko makini.
uwongo zako..mara ulikujanga kenya ukawa na dem ...hakuna kenya umewai kuja weka passport[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaka kenya nimeishi kwa mda mrefu sana...there was a time taasisi niliyokuwa nafanyia kazi ilinihamishia kenya.
kutokana na nature ya career yangu, ilinibidi niwe nasafiri maeneo mengi ya kenya.
ndio maana huwa nakuwa na confidence kubwa sana ninapo argue na wakenya kwasababu naifahamu vizuri nchi yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nataka nilete unga wa mahindi Kenya vipi soko Kwa sasa?
hakuna mtz wakuja kenya kuishi wewe.,usiwe mshamba.Mmeingia kwa wingi......gikomba mko na numbers huko
unaanza kubisha kijinga sasa,hao mademu wenu wabovu nani hawezi kuwa nao!!!!!uwongo zako..mara ulikujanga kenya ukawa na dem ...hakuna kenya umewai kuja weka passport