Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha kua serious iyo ni park?...Uhuru park ata watu 2 million inawatosha ....hizo ni gardens ama parks?
dar ziko kila pahala ndugu magomeni ipo, posta ipo, kariakoo ipo, temeke ipo, oyesterbay ipo haina ulazima mtu atoke temeke aende posta wakat park ipo temeke sisi tunasukuma mji kwenda nje sio kuingia ndaniπŸ˜€πŸ˜€

nafkiri umeelewa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unajua park nini? ...you're making my weekend.. Haha
cheka vzr nimekwambia google mnazi mmoja park kama ulijua bado ndio ile tz ya 90s umeingia chakikeπŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unajua park nini? ...you're making my weekend.. Haha
labda nikusaidie ujue maana ya park
elimu haijakusaidia kukutoa kwenye giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…