Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Funny part is that TZ is 2 times bigger
 
hahaha from 7000 mmepika to 18000 hahaha Check into a mental asylum
Jenga hoja acha kuangalia makosa ambayo yamo ndani ya acceptable errors, mbona Kenya actual namba ni 13000Km lakini hushangai nimeandika 14000Km?
 
Uhuru amejenga 5k kilometres in 5 years add kwa iyo 13k in 2012
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chakula tu, tena mahindi ameshindwa kuzalisha, katika idadi ya watu wachache ukilinganisha na Tanzania, ataweza kujenga barabara za lami?, labda kazijenga Nairobi na Gatundu pekee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
As you talk the county government of Homabay is doing 100 kms of roads within the county alone......and I know 47 others are also doing their roads
 
But the whole of Dar is a slum city!!
Kibera is a just a minute piece of unplanned real estate in Nairobi that's why it stands out from the largely planned parts of the city hence the focus!
mbona haipo kwenye the biggest top 100 slums in the world lakin cha ajabu kibera is the biggest slum in the worldπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
unasema park dar inampaka zoo ambayo ni biggest in east africaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

A zoo in Dar!? What for?? That's the dumbest thing to crown it all. With Tanzania's rich wildlife in their natural habitats what's the zoo for? Na South Korea watafanya nini?......si kila mtu huko atapewa punda milia wake!? 😡😡
 
A zoo in Dar!? What for?? That's the dumbest thing to crown it all. With Tanzania's rich wildlife in their natural habitats what's the zoo for? Na South Korea watafanya nini?......si kila mtu huko atapewa punda milia wake!? 😡😡
vumilia ukweli lazima uchome πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
dar es salaam zoo the biggest zoo in east africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…