Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usidogoshe hata kama una mpango wa kukosoa. barabra za TANROADS alizotaja hapo ni 13k km. Na nime comment kwene hiyo post mwandishi asahihishe namba alizoandika kwenye kichwa cha habari.
singapore ina ukubwa wa sq km 760 ya ni nusu ya dar ila wana mtandao wa barabara ya lami km 9500 wewe huogopi??πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Leta tuone basi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuna mkenya mwenye ako na hela hata mmoja.? Ikiwa hao mazungu tu maloezi hapo kunya biashara zao zimewashinda wanawauzia waTz ndio mnuka mavi hapo ukinduni awe na hela ya kumiliki kampuni.? Labda udalali.
Kaka hiyo post uliyoreply mbona imefutwa! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…