Nimezunguka kila kona. Hivi nyumba za kenya hawapigi lipu?
Huyo mpigeni kwa facts tu, then iwe facts vs hisia zake. πππGold? π π π π tuonyeshe wap kenya na tanzania wamefanya biashara ya dhahabu ππππ
View attachment 3697879
alafu kati ya tanzania na kenya nani anaingiza pesa nyingi zaidi kwenye tourism? jumlisha izo commodities zako zote kuanzia rice tuambie kati ya nchi zote afrika masharika nan anauza rice zaidi πππ
na sijamaliza, kati ya tanzania na kenya nani anauza zaidi products?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/TheCitizenTanzania/posts/tanzania-ahead-of-kenyakenyan-president-william-ruto-kenya-was-the-leading-count/904519455126798/
au ngoja nkurahisishie kazi πππ tuambie nchi gan ina deficit kubwa afrika mashariki , deni kubwa na inakopa kulipa mishahara ππ
Sasa unanitishia mimi! πππBwana Maasai hacker β¦ I see you are chasing dead ends to find me . My personal details are protected. Keep Chasing ghosts. On the other hand ,I know everything about you ( if you only knew my clearance )β¦ I know your real name, P.O. Box , your bank and place of work. I will leave it at that. πππ
Umefungua hiyo link na kusoma?nachojiuliza mm kwann rwanda apitishe mombasa kwasababu hio distance ni mbali sana compare na tanzania
Ngoja waje wenyewe watuambie.Hivi kunyaland wameshafanya PR kwa ajili ya hii AFCON? Au ni kwa vile hawana viwanja vya kuonesha hivyo wapo wapo tuu