Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gold? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ tuonyeshe wap kenya na tanzania wamefanya biashara ya dhahabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



alafu kati ya tanzania na kenya nani anaingiza pesa nyingi zaidi kwenye tourism? jumlisha izo commodities zako zote kuanzia rice tuambie kati ya nchi zote afrika masharika nan anauza rice zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na sijamaliza, kati ya tanzania na kenya nani anauza zaidi products?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/TheCitizenTanzania/posts/tanzania-ahead-of-kenyakenyan-president-william-ruto-kenya-was-the-leading-count/904519455126798/

au ngoja nkurahisishie kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuambie nchi gan ina deficit kubwa afrika mashariki , deni kubwa na inakopa kulipa mishahara πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nachojiuliza mm kwann rwanda apitishe mombasa kwasababu hio distance ni mbali sana compare na tanzania
Unatamani kuongea point lakini ndo ivo inatoka pumba πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ unatamani watu waone umeongea cha maaana lakini wap pumba, kwamba umeshindwa kujua rwanda ana stakes kenya pipeline but sgr connects direct mpaka mlangoni kwake πŸ˜‚πŸ˜‚ unatia huruma
 
aiseeeπŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
unatamani uonekane mtu lakini ndo ivo tena, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatamani kwel uonekane unaongea kitu cha maaana lakini wap


umefika hadi hatua ya kucompare glass buildings na hizi tooth pick πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Ongeza zingine uweke apa mzee wa pumba tunataka ukazie apo apo, alafu utuleteee glass building yoyote nairobi nzima au hata ukitaka kenya nzima πŸ˜‚πŸ˜‚
 
and who owns AVA πŸ˜‚πŸ˜‚ japo hakuna tena mtumiaji wa AVA bongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Maneno meeeeeeeeeeeeeeengi unamaliza miti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, huezi kutufananisha sisi na hio takataka

 
umejaribu kuongeza mnyororo wa umaskini wako kwa kuongeza kusoma? πŸ˜‚πŸ˜‚ maaana unaongea pumba as if unalala unaamka unaweka kiwanda cha kubagua korosho alafu straight unaanza kuuza , kwann usianze kwa kuongeza mnyororo wa umaskini kwako ili akili ikukae vizuri kidogo
 

lakini ata apa si tunaweza kuongeza mnyororo au πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/Localman254_/status/2114045089177555281?s=20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…