jibu swali na ukimaliza kujibu, tupe figures kati ya tz na kenya nani anaingiza dollars nyingi kushinda mwingine kuanzia kwenye trade, tourism na FDIkabla hujaangalia ya mwenzako jikague wewe uko kwenye njia sahihi? 5 yrs unazungumza over 51 trillion wakat nchi hii toka imepata uhuru 1961 mpaka 2021 yani 60 good years tanzania imekopa 59 trillion
nimeshakujibu isipokua hutakiwi kua chawa ili uelewe, uwe na akili timamujibu swali icho girl
hujajibu swali bali unalalamika, swali ni jepesi icho girl, deni la tafia la tanzania na kenya ni kiasi gan for each tupe figures or else kamalizie mechi uliobakisha na Teargass maaana anataka mtoto mwaka huunimeshakujibu isipokua hutakiwi kua chawa ili uelewe, uwe na akili timamu
mm kabla ya kuzungumzia ya kenya nazungumzia ya hapa hapa kwetu miaka 60 tanznaia imekopa 59 trillions alaf miaka 5 baadae tanzania imekopa over 51 trillionshujajibu swali bali unalalamika, swali ni jepesi icho girl, deni la tafia la tanzania na kenya ni kiasi gan for each tupe figures or else kamalizie mechi uliobakisha na Teargass maaana anataka mtoto mwaka huu
Deni sio the same . The source of deni determines the economy strategy. Kenya just like the US is majority internal borrowing ( we owe it to ourselves). On the other hand Tanzania ni mambo ya external creditors.kwan deni la tz ni kiasi gan na kenya ni kiasi gan
Bado unarudia makosa yale yale oscar maaana ukisema swala la madeni unajua marekan anadaiwa kiasi gan? Sasa mm nmekwambia leta stats deni la tz na kenya maaana si ndo mume wako yupo ukomm kabla ya kuzungumzia ya kenya nazungumzia ya hapa hapa kwetu miaka 60 tanznaia imekopa 59 trillions alaf miaka 5 baadae tanzania imekopa over 51 trillions
haya chukua scientific calculator unioneshe miradi hio ya 51 trillion within 5 good years ikiwa elnino tu pekee imetegwa budget ya 730 billion tsh huku unaambia billion 31 ni yakutoa elimu kuhusu radi ππππππ
Bora ungenyama tu ππππ tupe stats za total domestic borrowing na international ,πππ tunakusubiriaDeni sio the same . The source of deni determines the economy strategy. Kenya just like the US is majority internal borrowing ( we owe it to ourselves). On the other hand Tanzania ni mambo ya external creditors.
I am sure your primary school drop out brain is already lost to what I just postedβ¦π€£π€£π€£π€£
huwez kunielewa kama unaakili za kichawaBora ungenyama tu ππππ tupe stats za total domestic borrowing na international ,πππ tunakusubiria
unamcheka kenya mwenye nyumba imechafuka na tope wakat kwako kibanda kizima kimeungua na motoππππBado unarudia makosa yale yale oscar maaana ukisema swala la madeni unajua marekan anadaiwa kiasi gan? Sasa mm nmekwambia leta stats deni la tz na kenya maaana si ndo mume wako yupo uko
mimi tena? π€£ π€£ π€£ swali dogo sana maelezo buku, sasa kelele zote apa za nn alafu huna stats ama hujui "no research no right to speak"huwez kunielewa kama unaakili za kichawa
tuonyeshe sasa icho kibanda kizima kilichoungua na moto because Tz ndo peke yake yenye B+ katika credit institution zote za mikopo duniani, and infact inaweza kununua dhahabu kwa pesa za ndan na kuziuza izo dhahabu nje kulipa deni sasa utuonyeshe icho kibanda kilichoungua π€£ π€£ π€£ and infact ni congo, tanzania na south sudan peke yake wana surplus kwenye trades zao zote wanazofanyaunamcheka kenya mwenye nyumba imechafuka na tope wakat kwako kibanda kizima kimeungua na motoππππ
huwez kunielewa kama unaakili za kichawa
Yeye yupo upande wao. Kaka Chora mstari.mimi tena? π€£ π€£ π€£ swali dogo sana maelezo buku, sasa kelele zote apa za nn alafu huna stats ama hujui "no research no right to speak"
niko kwenye ukweli na haki, ukiwa na akili ya kichawa huwez nielewaYeye yupo upande wao. Kaka Chora mstari.
from which source mbona hupost link una screenshot ??πππππtuonyeshe sasa icho kibanda kizima kilichoungua na moto because Tz ndo peke yake yenye B+ katika credit institution zote za mikopo duniani, and infact inaweza kununua dhahabu kwa pesa za ndan na kuziuza izo dhahabu nje kulipa deni sasa utuonyeshe icho kibanda kilichoungua π€£ π€£ π€£ and infact ni congo, tanzania na south sudan peke yake wana surplus kwenye trades zao zote wanazofanya
View attachment 3697035
aya leta data za mume wako sasa
chagua unayotaka, serve yourself π€£π€£π€£ alafu wewe ukiambiwa leta data unaishia kulalamika sjui condom imefanyaje π€£π€£π€£from which source mbona hupost link una screenshot ??πππππ