babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,441
- 36,072
Huyo haelewi hata anachosimamia mara uchawa mara bus. πππSasa mbona hizo Bus hazitumiki huko kunyaland? Au wana tengeneza for export only?
acha kuropoka, tuambie mmiliki wa master ni nanreality ndio hio tukubali tukatae leo hii tumeanza kuingiza bus za kutoka kenya na ninajua kwa ubora mchina hawezi kushindana na man wala scania hio sahau kazi yetu uchawa na kusifia ujinga
mwaiofhawaii anadhan izo vertical slums is because of demand π π π
tushamwambia mwenye izo bus ni muhindi haelewiSasa mbona hizo Bus hazitumiki huko kunyaland? Au wana tengeneza for export only?
Kwahiyo fabrication siku hizi ni assembling?hakuna sehem uganda wana assemble golden dragon, kiira motors ni kampuni ya waganda wenywe na hazina market kabisa na kwa taarifa yako nimekaa uganda miezi 6 nimekutana na bus ya kiira moja tu kampala inabeba wafanyakazi wa serekali, hzo golden dragon ni kampuni ya wachina but zimekua assembled kenya na wakat bus hzo watumiaji wengi ni sisi watanzania na congo , we huoni maajabu? ππππππ
hata hzi marcopoli zote zilizoko tanzania zinatoka AVA kenya ππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/reel/DTPzi3dCL1L/?exln=OXE3MmZxdm12dHZl
View attachment 3695370
View: https://www.instagram.com/p/DeJUTpNICgj/?rpxt=MTBjeDE1cGcyOGNvaw==
View: https://www.instagram.com/p/DdtcuTRiDpO/?img_index=2&rpxt=aDNvZG9qeDYxZDZz
View: https://www.instagram.com/p/DeZbj4SoP5N/?srtk=eGxjdWhlanRhbmY3
haina uhusiano slums, we have mpaka congo streetEnglish comprehension is your main problem. Should I rewrite in Swahili. The issue was economy not colonial boundaries. I was bringing attention to the fact that Kenyans run a major part of Arusha , Moshi and other Tanzania regions economy. There is a reason I even brought up kikuyu street in Arusha. So now explain yourself how has that to do with Maasai being on both sides of the border. Donβt let ignorance hit you on your way back to response ππ€£π€£
kashamba ako achana naeKwahiyo fabrication siku hizi ni assembling?
Aisee, nguvu ya kubishana na mtafuna mirungi sina.
Huyo haelewi hata anachosimamia mara uchawa mara bus. πππ
hypocrisy yenu hua funny,Ukiwa hater sana na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo unapotea. Au akaunti yake anatumia mtu mwingine Sasa hivi? Yana hata ng'ombe za north Zina afadhali...
Ati anasema hizo scania zitakuja kumtoa Mchina kwenye upande wa Mabasi!... π
Nchi inapigwa mnada tu kila siku.
View attachment 3695443
Una ujinga wenye hautambui hata.Ukiwa hater sana na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo unapotea. Au akaunti yake anatumia mtu mwingine Sasa hivi? Yana hata ng'ombe za north Zina afadhali...
Ati anasema hizo scania zitakuja kumtoa Mchina kwenye upande wa Mabasi!... π
Nchi inapigwa mnada tu kila siku.
View attachment 3695443
Natumai kuwa unaelewa kuwa fabrication iko even more complex kuliko assembling. Assembly ni kuunganisha tu parts zilizoletwa kwa meli, fabrication is more involving because it comprises of design from scratch, transforming raw material kama steel coils na aluminum sheets into specific structural and custom pieces.Kwahiyo fabrication siku hizi ni assembling?
Aisee, nguvu ya kubishana na mtafuna mirungi sina.