ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,433
- 89,838
Ushamba ni mzigo wa Mavi. Tembea uone acha kujifungia kibera:Next time you are in Arusha, visit this street and inbox me . I wanna show you something specialβ¦.ππ
View attachment 3694795
| Country | City / Area | Street name |
|---|---|---|
| π¨π¦ Canada | Windsor, Ontario | Zanzibar Court and Zanzibar Crescent |
| π³π¦ Namibia | Windhoek, Otjomuise | Zanzibar Street |
| π§πΌ Botswana | Sherwood area | SherwoodβZanzibar Road |
| Country | City | Name |
|---|---|---|
| π°πͺ Kenya | Mombasa | Zanzibar Road |
| πΏπ¦ South Africa | Tembisa | Zanzibar Street |
| π§π· Brazil | SΓ£o Paulo | Rua Zanzibar |
| π©πͺ Germany | Berlin | SansibarstraΓe |
| πΊπΈ United States | Las Vegas | Zanzibar Lane |
| π«π· France | La Possession, RΓ©union | Rue Zanzibar |
| π³π± Netherlands | Zoetermeer | Zanzibarplein (Zanzibar Square) |
I have never seen a dumb ass reasoning like this in my entire life. All over the world, people migrate, colonial borders aside. In South Africa and Zimbabwe, we have the Ngoni tribe that is also found in Tanzania. Does that mean the Ngoni in those countries are Tanzanians? What about the Maasai people we have them in both Kenya and Tanzania what do you say about them?There are so many things we donβt even mention here β¦for example, I have never told you this.. did you know there is a thriving community of Kikuyu people in central Tanzania. Some came back to Kenya in the 70s and Mzee Kenyatta allocated them land in Lamu ( thatβs how Kikuyus ended up occupying Lamu in coast Kenya). Some still stayed behind and own tracts of land as citizens. They are the wealthy in central parts of Tanzania. I wonβt tell you where..π Also some members of Kipsigis community from modern Kericho county relocated to central Tanzania after Colonialists took their land. Some settled there and never came back. Also adopted Kiswahili as their language. Smart move . I am sure you didnβt know all that .ππ
But it is ok to brag about buildings and English, sio?A bus station in 2026 is nothing to brag about.. whatβs with you Bongolalas and primitive stuff β¦π€£π€£π€£
You can't afford bread now you want cake π€£π€£π€£π€£π€£Because Kenyans didnβt support it. We want subway stationsβ¦ now you know .. fala weweβ¦π€£π€£
Sijutii kuweka hiyo ID ignore list. πππBut it is ok to brag about buildings and English, sio?
Muongezee na hii Dar es salaam Square in GermanyUshamba ni mzigo wa Mavi. Tembea uone acha kujifungia kibera:
Country City / Area Street name π¨π¦ Canada Windsor, Ontario Zanzibar Court and Zanzibar Crescent π³π¦ Namibia Windhoek, Otjomuise Zanzibar Street π§πΌ Botswana Sherwood area SherwoodβZanzibar Road
Country City Name π°πͺ Kenya Mombasa Zanzibar Road πΏπ¦ South Africa Tembisa Zanzibar Street π§π· Brazil SΓ£o Paulo Rua Zanzibar π©πͺ Germany Berlin SansibarstraΓe πΊπΈ United States Las Vegas Zanzibar Lane π«π· France La Possession, RΓ©union Rue Zanzibar π³π± Netherlands Zoetermeer Zanzibarplein (Zanzibar Square)
hii ndio shida yetu hua hatupendi kukubaliana na ukweli ili tupate hasira ya kufanya zaidi ya hayo, nimeskia mpaka bus za golden dragon za kichina zimekua assembled kenya, alaf sisi tuko hapa tunashangilia upuuzi na uchawasema made by indians, mwenye hio kampuni ya master tulishaweka debate apa mda mrefu sana ni mhindi flan ivi anakaa nje ya kenya
Muongezee hii, Dodoma kuna Kata inaitwa Kikuyu.Muongezee na hii Dar es salaam Square in Germany
View attachment 3695016
Never-ending power disturbances in Kikuyus Voice π€£π€£π€£π€£
Chukia kiongozi usichukie nchi kiasi kwamba kwamba umekuwa mtu wa kuropoka ropoka ovyo uongo, no facts.hii ndio shida yetu hua hatupendi kukubaliana na ukweli ili tupate hasira ya kufanya zaidi ya hayo, nimeskia mpaka bus za golden dragon za kichina zimekua assembled kenya, alaf sisi tuko hapa tunashangilia upuuzi na uchawa
uongozi ndio unafanya haya yanayoonekana leo how comes leo tunanunau bus kutoka kenya mpaka golden dragon zimekua aseembled kwao wakat sisi ndio wanunuazi wakubwa wa hzo bus za kichina, leo tumelala mpaka dangote kapeleka mradi ya 17b usd lamu, alaf tunakuja kudanganyana hapa kua vitol atajenga refinery wakat ni siasa za kututiza baada ya dangote kumkosa, sometimes facts hazikwepeki japo zinauma hawa jamaa wametuacha mbali sanaChukia kiongozi usichukie nchi kiasi kwamba kwamba umekuwa mtu wa kuropoka ropoka ovyo uongo, no facts.
Nn: Tumia akili.
Duh National Stadium ina udongo hiviπππ
View attachment 3694907
alaf mwisho wa siku hali ndio hiiπππ
Ili tueleeane vizuri kubali kutumia akili tujadili vizuri.uongozi ndio unafanya haya yanayoonekana leo how comes leo tunanunau bus kutoka kenya mpaka golden dragon zimekua aseembled kwao wakat sisi ndio wanunuazi wakubwa wa hzo bus za kichina, leo tumelala mpaka dangote kapeleka mradi ya 17b usd lamu, alaf tunakuja kudanganyana hapa kua vitol atajenga refinery wakat ni siasa za kututiza baada ya dangote kumkosa, sometimes facts hazikwepeki japo zinauma hawa jamaa wametuacha mbali sana
Ama hujui huyo kaongo alinusa tetesi za ujenzi wa refinery ndio maana akaanza kuchomekea ujenzi wa refinery Tanga!Hivi unajua ujenzi wa reninery yake wala haiji kushusha bei ya mafuta!
Tanzania ilikuwa na plan za kujenga refinery na bado refinery itajengwa, punguza siasa za majitaka, tumia akili kufikiri.
Mambo ya Board Making watu walishajaribu hapa Tanzania wakaona biashara hailipi. Biashara inayolipa hapa Tanzania ni ya Truck Assembly. Ndio maana watu wamewekeza huko. Kuna zaidi ya viwanda 5 vya Truck Assembly hapa Tanzania. Hii ni kutokana na Construction, Mining (Tanzania, DRC, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda, Zimbabwe nk). Watu wanafungua viwanda kwa kuangalia faida. Wakenya wanafanya vitu kwa sifa, sasa kakuonesha basi mbili hizo ndio soko lote la mabasi Tanzania?Ili tueleeane vizuri kubali kutumia akili tujadili vizuri.
1. Basi nyingi Tanzania zinanunuliwa China na sio kunyaland, Btw huwezi mpangia muwekezaji anunue mabasi yake wapi, Halafu hivi si nini wewe kipindi cha World Cup ulikuwa unasifia na kuwaringishia wakunya Qatar kutumia mabasi ya kichina? Nini kimebadilika leo?
2. Issue ya Dangote tumelala vipi, ulitaka tumlambe matako ili akubali?
Tetesi ya masharti ya mradi wake ulisikia ama kuona hata mbili, unajua kwenye moja ya masharti yake anataka kulindwa juu ya uagizaji wa mafuta kwamba anakuja kutengeneza monopoly?
Ama hujui huyo kaongo alinusa tetesi za ujenzi wa refinery ndio maana akaanza kuchomekea ujenzi wa refinery Tanga!
Punguza siasa za kipuuzi.
Anayeponda Tanzania kununua basi za kichina ndo huyu. πππMambo ya Board Making watu walishajaribu hapa Tanzania wakaona biashara hailipi. Biashara inayolipa hapa Tanzania ni ya Truck Assembly. Ndio maana watu wamewekeza huko. Kuna zaidi ya viwanda 5 vya Truck Assembly hapa Tanzania. Hii ni kutokana na Construction, Mining (Tanzania, DRC, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda, Zimbabwe nk). Watu wanafungua viwanda kwa kuangalia faida. Wakenya wanafanya vitu kwa sifa, sasa kakuonesha basi mbili hizo ndio soko lote la mabasi Tanzania?
Uganda wapo na Assembly ya basi za umeme lakini tuliwapiga chini kwenye SGR maana hawajafika kiwango.
Siyo kila kitu wakifanya wengine lazima na sisi tufanye.
Mpaka south africa mchina katawala huko, nigeria, egypt au je hukuona bus zilizotumiwa world cup qatar??π π π π π
Hvi ww china unamchukulia kama level yenu nyinyi ??π π π π π π
Ndio kaka. Ndio nilikuwa najaribu kumwelewesha kupitia comment yako. Nilikuwa nakupatia compliment kaka. π€£ π€£ π€£. Kaona basi mbili pale na anataka ku generize. Mwaka jana LATRA walitoa data kuwa kuna zaidi ya mabasi makubwa 40,050 yaliyosajiliwa Tanzania. Sasa huto tubasi tuwili mtu anavimba.Anayeponda Tanzania kununua basi za kichina ndo huyu. πππ