Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila statistic kwenu inakuwanga fictitious until ile siku itarank Vumbistan mbele ya Kenya😂😂😂
Kuna statistics gani ambazo mie niliwahi kuzipinga ukiachana na GDP!? Mbona zingine zote nilizikubali hadi za umasikini!?
Aya hiyo GDP kubwa imeisaidia nini Kenya!? Mbona hata food security hamuna hadi madawa tumewasaidia sisi nchi yenye low GDP!?
 
Una hasira sana na nimesema tu kitu moja. Ukweli huuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…