Kiberawalker tumia njia yako kuniprove wrong maku wwYou're using the temperature for a single day to prove Arusha is colder than Nairobi? What is your level of education Mganga na Umbwa? π€£ π€£
Countries that oftenly rebase their economies are Kenya and Nigeria.Wamerebase GDP na bado haijafika 100B ππ
View: https://x.com/DrRafiqRaji/status/2108484112226930884
Hao nyang'au wanapenda kuota ndotoπ€£Vipi kuhusu Ile ya malaba almost 17 years bado kumaliza hata 700km, unataka compare na mwanza 1200km from dar ambayo imeanza Jengwa 2020s
IMF and other dodgy institutions, such as rating agencies, are nothing but premium tools for discrediting countries whose policies do not revolve around the western imperialist orbit.Mbona tuachane na hayo? Hutaki tuongelee mambo ya kufake data tena?πππ€£
View attachment 3690480View attachment 3690481View attachment 3690482View attachment 3690483
Nilitaka kuisema hii juzi kati, Drc Congo for instance ilikua haonekani popote likija suala la GDP hata ukichukua takwimu za miaka mitatu hadi minne iliyopita, soon baada ya yale maridhiano yao na Rwanda yaliyofanywa kule US ati leo wako na $123 billion gdp. πππ. Mwaka juzi 2024 walikua $60+ billion. Kwahiyo uchumi wao umekua hadi ume double with a single year. πππ. Kwa uzalishaji upi.? Au kwa miradi ipi.?IMF and other dodgy institutions, such as rating agencies, are nothing but premium tools for discrediting countries whose policies do not revolve around the western imperialist orbit.
It is for this and many other genuine reasons, the African Union has established its own rating agency.
View: https://x.com/eNCA/status/2107800148848029750?s=20
View: https://x.com/ennyola0015/status/2095720631446741133?s=20
Haha itafikia malaba when ? SISI tayari Kuna contractor site pande zote, singida to tabora clearance na kifusi tayari kimeshajazwa tuta almost 17 percent of completion.Nauliza swali unanijibu na swali....kwanza yetu itafika malaba kabla yenu kukamilika....lakini tangu enzi za marehemu...story ni SGR ,sgr,sgr...malizeni hii kitu mfikirieni mambo zengine..ama hela hakuna?
Over 3000 km over 4 lots U/C at a go! unafikiri huisha over night!Lakini hii SGR itaja ishaa lini?tangu enzi za marehemu...mama akamaliza muhula wake wa kwanza ..sai ya pili..story bado ni ile ile..