President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
Wewe mgeni hapa. Hii ni vita haichagui silaha. Kama unahuruma nenda kwenye forum ya mapenzi. Hapa tuachie wanaume.Bro picha zingine usilete. Naona kama sio sawa aisee. Lete tu kuonesha slums basi. Ila picha za hunger and famine kama hizi hapana ni sawa na dhihaka usilete kaka.
Mie sio mgeni hapa ni wa muda sana. Na nimetoa tu maoni sidhani kama vibaya mtu kutoa opinion yake. Punguza ushamba mkuu.Wewe mgeni hapa. Hii ni vita haichagui silaha. Kama unahuruma nenda kwenye forum ya mapenzi. Hapa tuachie wanaume.
Tukiwaoneshaga udom mnasema tunawapa a whole city instead of a university, haya hii hapa cbe na bado itawachapa 10 nill hapo naislumKiukweli sioni tofauti.😂😂😂
View attachment 3688346
Hii ni tournament MATAKO WEWE hii ni CAF SUPER LEAGUE nje na Cafcl na cafcc. Hiyo tournament ilikua hosted nchi mbili kama sijakosea. Ikiwemo na Tanzania.This is not a tournament idiot😂😂.
The only serious tournament your country has hosted is CHAN. Hiyo Kitu unatuonyesha is just fixture just like any other fixture, Kwanza ni fixture ya one leg😂😂🤣
Umetumwa au?Mie sio mgeni hapa ni wa muda sana. Na nimetoa tu maoni sidhani kama vibaya mtu kutoa opinion yake. Punguza ushamba mkuu.
Unashuka nafasi tatu chini ilhali Tanzania inapanda. Did you notice that!?? Tarajia tuwarudishe chini yetu kama mwaka jana.
Changia mada bro ila usipende kumchagulia mtu cha kupost. Pia niliyemlenga najuana naye umedandia gari kwa mbele.Umetumwa au?
Kulikuwa na haja ya kunitusi we shoga?Hizo ni unplanned settlements sio slums makalio wewe.
Onhoo kumbe we shoga!? Kuwa shoga wewe haimaanishi na wenzako mashoga. Aya tuliza kikata kimba hiko.Kulikuwa na haja ya kunitusi we shoga?
Unplanned settlements ni nini? Slums ni nini? Shoga kweli wewe na babako
Yani MGR ya Tanzania uifananishe na SGR ya kenya?SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani.
Sijui hata kwanini na reply upumbavu wakoYani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa unaongea tu na sio facts tena.
Kenya hadi sasa reli yao imetokomea porini huko haijulikani lini inaendelezwa.
Bei zao tu ndio huwa zinanichosha.New land mark .. 27 floors building under construction at kinondoni Ada estate View attachment 3687744View attachment 3687746
Mbona umechelewa kujua?!Wewe kimbe ni mpumbavu hivi??🚮
🖕Onhoo kumbe we shoga!? Kuwa shoga wewe haimaanishi na wenzako mashoga. Aya tuliza kikata kimba hiko.
Kwa mnyamani, vingunguti, buguruni yooote kuna miundombinu gani?Unplanned settlements ni makazi ambayo yamejegwa pasi na mpangilio kiasi kuathiri baadhi ya miundombinu. Ila huduma za kijamii zote zipo
Kwa mnyamani na vingunguti kuna mfumo wa maji taka we Lofa? Ile harufu kalii ukitoka airport hutoka wapi?umeme,maji,hospitali,huduma za maji taka.
Slums ni makazi duni ambayo yanakosa huduma zote za kijamii na yanakosa miundombinu muhimu kama maji,umeme,mfumo wa maji taka n.k.
Embu nioneshe sehemu yeyote Kibera slums yenye nyumba ya tofali,barabara ya mtaa iliyonyooka,mfumo wa maji taka,huduma ya maji safi. Nioneshe!??
Ulipotaja kote huko Vingunguti,Buguruni huduma muhimu zote zipo.
🖕
Kwa mnyamani, vingunguti, buguruni yooote kuna miundombinu gani?
Kwa mnyamani na vingunguti kuna mfumo wa maji taka we Lofa? Ile harufu kalii ukitoka airport hutoka wapi?
View attachment 3688367View attachment 3688368
Hii ni Kibera affordable housing iko na 15k units
Wewe ndiye unamchagulia mtu, Eti asitume picha. Thread hii tunajuana. 🤣 🤣 🤣 🤣Changia mada bro ila usipende kumchagulia mtu cha kupost. Pia niliyemlenga najuana naye umedandia gari kwa mbele.
Hizi picha za google za zamani leta latestView attachment 3688388View attachment 3688389View attachment 3688392
maku hiyo mitaa uliyoitaja huwezi kukuta nyumba za bati uchafu kama huko kwenu mngese ww 🖕🖕