joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Endelea kuimba GDP za makaratasi wakati njaa inaendelea kuwaua, unemployment inasababisha day light crime in Nairobi, Nairobi maji ya kunywa ni shida, deni la Taifa linatishia nchi kufilisika. Endelea na kuimba GDP na ukistika bullet train inaanza safari za Dar - Kigali[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kenya GDP (2017)-$70B
Tanzania GDP (2017)-$47B
GAP-$23B
Kenya GDP (2022)-$120B
Tanzania GDP (2022)-$79B
GAP-$41B
ππππ
I live in a border town (Migori) na nimesoma nao from kindergarten to form four level. Wenye wanaishi karibu na border ya kenya always cross over to study in kenya. Halafu unasikia mafala wengine hapa wakitaja mambo kuhusu elimu. A classical case of nyani haoni kundulei also find it hilarious bro....these guys have a 1950s education system...wanasoma chemistry na physics, maths kwa kiswahili hawa mafala...πππ most of their kids at the border come to study in Kenya coz of their poor education system
Acha kijikuta matawi ya juu wakati unaishi kiberahahaha Mimi Dar siwezi ishi labda visit tu nilale upanga
i also find it hilarious bro....these guys have a 1950s education system...wanasoma chemistry na physics, maths kwa kiswahili hawa mafala...πππ most of their kids at the border come to study in Kenya coz of their poor education system
Kwahiyo kusoma kwa kiingereza ndiyo ujanja?, stupid kama wewe hajawahi tokea hapa East Africa, hujatoka nje ya Kibera ndiyo sababu, nchi zote zilizoendelea na zinazoendelea kwa kasi, masomo yote hufundisha kwa kutumia lugha za taifa za nchi zao, wapumbavu kama ninyi wenye akili za kitumwa ndiyo mnang'ang'ana na kiingereza kika sehemu, hovyo kabisa ninyi.i also find it hilarious bro....these guys have a 1950s education system...wanasoma chemistry na physics, maths kwa kiswahili hawa mafala...πππ most of their kids at the border come to study in Kenya coz of their poor education system
watanzania gani waliokiri acha kulazimisha vitu, lete ushahidi ili kusuport points zako, vinginevyo sema according to you, usitake kuwaingiza ghost supporters ili wakusaidie.Kwa mambo city planning hata nyinyi mnajua kwamba your glorified village haifikii Nairobi hata robo kwa planning.Nairobi is well-planned ndio maana hata watanzania wenzako wamekiri hilo mara mingi sana kwenye hili kukwaa. Kwenye city planning, Nairobi and Dar are worlds apart
Haha...you are just a typical Tanzanian....always living in denial. Na hiyo elimu yenu 'bora' mbona mmejazana katika shule zetu za msingi na za upili mkitafuta elimu bora katika nchi iliyo na miongoni mwa elimu duni duniani? Pili, mbona hiyo elimu yenu 'bora' haijawatoa katika uchochole wa ldc? Mbona nchi yenye elimu duni haliko kule ndani lakini nyinyi na hiyo elimu bora mmekwama kwenye lile tope? Get out and smell the coffee danganyikanAll African leaders wamesomea Tanzania, professor Mutua muulize amesomea Tanzania. Kuhusu kudharau hilo wala halitusumbui, kama wenyewe kwa wenyewe mnadharauliana na hampendani vipi kuhusu kudharau watu au vitu vya wengine?. Elimu yenu ni miongoni mwa elimu ya ovyo kabisa katika dunia hii, vipi mnasema mnaelimika lakini bado mnabaki na ukabila?, elimu bora ni ile inayomkomboa binadamu kutoka katika mawazo ya kizamani na primitive thinking kama ukabila.
All African leaders wamesomea Tanzania, professor Mutua muulize amesomea Tanzania. Kuhusu kudharau hilo wala halitusumbui, kama wenyewe kwa wenyewe mnadharauliana na hampendani vipi kuhusu kudharau watu au vitu vya wengine?. Elimu yenu ni miongoni mwa elimu ya ovyo kabisa katika dunia hii, vipi mnasema mnaelimika lakini bado mnabaki na ukabila?, elimu bora ni ile inayomkomboa binadamu kutoka katika mawazo ya kizamani na primitive thinking kama ukabila.
hasira hasara...data zipo tu...ukweli ndio huo...by 2022, the gap will reach $41BNdoto za mchana kweupe kabisa hizi
average Kenyan huvuna ksh 20 kwa siku calculate apo ndio uone mnahemea oxygen concentrator
Endelea kutuletea habari za WikipediaHahaha unatamani sana iwe hivyo lakini bahati mbaya siyo
View attachment 684181
Growth Per capita 4.4% Kenya ni 2.2% na inaendelea kushuka
Per Capita Tanzania sasa hivi ni 1,041. Tunawapumulia mgogoni. In few years mtatuona juu.
whats this? haha...leta data za per capita value...sio growth...growth haisaidii chochote...for example, Uganda grows faster than South Africa...
lol! these idiots live in primitive timesI live in a border town (Migori) na nimesoma nao from kindergarten to form four level. Wenye wanaishi karibu na border ya kenya always cross over to study in kenya. Halafu unasikia mafala wengine hapa wakitaja mambo kuhusu elimu. A classical case of nyani haoni kundule
Kwa mambo city planning hata nyinyi mnajua kwamba your glorified village haifikii Nairobi hata robo kwa planning.Nairobi is well-planned ndio maana hata watanzania wenzako wamekiri hilo mara mingi sana kwenye hili kukwaa. Kwenye city planning, Nairobi and Dar are worlds apart
Tatizo wewe akili yako ni ndogo sana, mimi sio mtu wa kuzungumza vitu bila ushahidi, wewe umezoea story za vijiweni, maneno kama " ask yourself", haya ni maneno yanayotumiwa na watu wa kijiwenu waliokosa supporting evidencies wanabaki kusema ask yourself, kwanini hao viongozi wa Afrika wasikimbilie Kenya?, kwanini hao Kenya scolars wasiende nchi zingine zilizojirani waamue kuja Tanzania?, tumia akili japo kidogo acha tabia za story za vijiweni.Don't display your ignorance here! Prof Mutua with many other Kenyan scholars as well as other African leaders landed in Tz not on their own accord but forced into exile for exposing their govt's excesses. University of Dar was just a refuge till they transitioned somewhere else. Ask why they didn't stick around to teach in Tz!? They realized earlier on that they couldn't conform to your mediocrity and decided to flee again!
unaelewa maana ya GDP per capita wewe pimbi wa Manzese? kafanye research kisha uje na swaliWewe wasema ,kipato cha mkenya wa pale kibera ni kati ya $500 -1000 iyo $1455 Ni wale vibaka wanokaba watu
Hiyo rafiki inaitwa speed. Kama unajua maana ya speed utanielewa ni M/swhats this? haha...leta data za per capita value...sio growth...growth haisaidii chochote...for example, Uganda grows faster than South Africa...
ndoto ya alinachaπππππ endelea kuotaKenya GDP (2017)-$70B
Tanzania GDP (2017)-$47B
GAP-$23B
Kenya GDP (2022)-$120B
Tanzania GDP (2022)-$79B
GAP-$41B
ππππ