Nairobi lazima uende kibera ndo wabebe watu wengi ivo
nawaonea huruma waanza lock downUtasikia uchumi mkubwa sijui nn hata shibe tu ni kiashiria cha uchumi mkubwa wao njaa kila mwaka
Mende hana rangi ya bendera ya Tanzania wacha kulazimisha mambo!Seems you forgot that you also have it ๐ View attachment 3685851
Was Nyayo under renovation for the upcoming AFCON?
Mnaokota Tu vitu hata hamuelewi.
Ule wa Dodoma mbona wakiongeza manpower wanatoboa?
Nyang'au wanajua kujifariji na kujiongopea๐คฃ
hakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?Nyang'au wanajua kujifariji na kujiongopea๐คฃ
Nyayo is a training ground and there was no renovation going on.Wewe kumbe hata hajielewi!
Haujui ni viwanja gani vipo appointed kwa mechi na vipi vimetengwa kwa mazoezii!?
sisi wenyewe bado tunasubiria
sasa si bora mapadlock, wengine wana 10 years na distance yenyewe ni arusha na moshi ๐๐๐hakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?
naskia oburu kashamaliza yakehakuna kujifariji apa...mwendo ni wa kusema na kutenda..lile experessway yenyu ilifikia wapi?alafu SGR tangu enzi za mapadlock mumeshindwa kumaliza...ni miaka ngapi tangu SGR ianze ?
as days go on, you always get worse ๐ ๐ ๐ who told you training grounds are not subjected to construction, didnt they tell you thats the #1 thing they inspect when they arriveNyayo is a training ground and there was no renovation going on.
Acha kulazimisha maneno.