Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio sio glass building we fala hayo ni madirisha πŸ˜‚πŸ˜‚ na huoni kabisa toka chini ni zege na sio glass
Wewe kapigwe miti, pale amell ni glass tupu? Umehwahi kufika unakatwa nini weee
 
Zile picha za tabata na vingunguti ulizokua unataka kucompare na mathare zipo wap? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vp kuhusu stendi? Kapicha basi mwanaetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hadi mama samia anaingia kaburini hamuwezi kuwa na barabara kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…