Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ni Mkongo kanunua hiyo hakuna mtanzania anaweza akanunua bus jua kali kama hilo never.
So Leo hii Classic Coach imekuwa ya mkongo?😂😂😂

Soon utatuambia Katarama pia ni ya Mkongo just because he is buying buses from Kenya.
 
Some of the tourist attraction in Kenya. You will never see a European, Asian or American going to Tanzania just for the case of boarding a a BRT.
.View attachment 3683936

Maku mtalii hawezi kushangaa BRT kitu ambacho kwao kipo,niambie hapo naikundu mbona watalii awashagai maghorofa instead off wanaishangaa kibera,so ni haki yao kushangaa huo uchafu wenu wa bus casino,tukiwaambia dar kama ulaya mnakataa 🖕🖕
 
Dah nipo aisee, kuna jamaa anaitwa Francis Ndacha huwa namfananisha na wewe, namkubali sn, ni ndugu yako?
Hapana, Francis Ndacha anatoka Nyeri county. Mimi ni wa Migori county. Nikiwa home navuka tu border hapo Sirare nala lunch Tanzania narudi zangu nyumbani jioni 😂😂
 
Ukunyan hakuna BRT system,ukunyan hakuna electric train,ukunyan ndipo inapopatikana big slum in the world 🤮🤮
 
So penye wanatoka hakuna slums? No wonder unajiita Mganga na Umbwa.
Maku hapa mzungu atashangaa kitu gani while anajiona kama yupo ulaya tu
View attachment 3684138
Your public transport is boring.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…