Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This evening
Niko busy ninaappreciate mali yetu 🇹🇿🇹🇿
Tanzania is such GOATED place man
Your browser is not able to display this video.
 
You are really struggling to see your mountain, on the Kenyan side it's very clear and you don't need to zoom to extend the picture become blurred.
We nae ni kilaza sana. Mimi nipo Moshi mjini, mji wa Moshi umejengwa 45km kutoka Mlima Kilimanjaro
Unapajua Marangu? Unadhani mkazi wa Marangu anauona Mlima kwa mbali? Au unadhani hakuna makazi ya watu kwenye km 45 kati ya Moshi na Mlima Kilimanjaro?
Nenda Rombo Tarakea, Marangu, au Kibosho ukitaka kuuona kwa karibu
 
Nini cha ajabu hapo mr. Born Again 007 … reli iko juu and so?… you want to see the real deal , watch Nairobi National Park SGR … then let’s compare …😜
Hiyo ni dodoma stand mzee, ni hatari fire 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…