Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unajali kwanini.
30% ikiwekwa kwa soko, the only thing EAC wanapewa ni priority.
Lakini haimaanishi wengine watafungiwa. Pesa ni pesa.
Soko la Kenya pekee yake itanunua zote kama zitabaki.

Hahaha... Haya chukueni zote. Na hiyo refinery msije kuinasibisha na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hiyo ni ya lamu kunyaland. Kwishaaa... Mambo ya kutaja East Africa region kwenye hizo ndoto za kitandani hautaki. Na Mzee Museveni aliwaeleza peupe.

Na hakukuwa na muwakilishi mwingine kutoka Jumuiya aliezungumza hapo. So, Msimamo wa Mzee ndio Msimamo wa wanajumuiya wengine.
 
Museven kawaambia kabisa saudi arabia kuna refinery 9,so aoni hata ajabu tanga na hoima kuwa refinery πŸ˜ƒ
 
Mchawi unaumia ukisikia refinery tanga,mu7 mwenyewe jana kasema,yan kwa akili Tanzania haina plan ya refinery,we kweli maku,tanga refinery itajengwa mtake msitake
Mwenye angejenga refinery Tanga ndio hiyo kashaanza kujenga Lamu, so who will built another one in Tanga?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣now you are hating on entire Nigeria juu ya Dangote πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
hate aje? 🀣 🀣 🀣 🀣 kwan wakati mnajiandaa kujenga hamkujua mnatoa wap crude 🀣🀣🀣 saaahv mnamchukia m7 bure, if i were you, ningempa tu 30% free shares atupe access to oil, but since you all are fools mlianza mbwembwe bila kujua mnatoa wap crude, saahv president anatamani kucheka but hawezi 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…