Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We vipi fatilia huyo jamaa alituma ambayo mshatuma nyuma
Nijibu nn tena uku nilijibu mbili mfululizo
gani?msitafute kwa kutokea...nairobiwalker alieka nssf,kambalanack ameeka national bank.gani imerudiwa
 
Hawa wenzako wanakuchanganya hawa hawajui tulipoanzia wanakuja kuangusha picha2 bila kujua
Ndo maana wanakuchanganya
 
wameanza kuruka...angalia izo six tower wanazosema ndio ucheke.ziko kama teleposta alafu wanaesabu sita
Hio jengo lina tower 6 na zote 22 floors jibuni twendeni kazi hakuna kulia hapa wala kutoa povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…